nahitaji kuoa mwanamke asiyekuwa na hizi sifa....

jamani mi naona umri unasogea kauli ile ya bado niponipo imeanza kunishinda sasa waungwana nahitaji mwanamke mwenye sifa zifuatazo:-
1. Asiwe mweusi sana maana mimi ni mweusi naogopa tusije tukazaa mwenye rangi ya mkaa
2. Asiyekuwa na mapengo wakati wa tabasamu avutie
3. Asiyekuwa na meno yaliooza na kujaa ukungu
4. Asiye kuwa na historia ya kuliwa na funza udogoni maana wanaharibu vidole na kucha za miguu
5.Asiwe bonge mpaka ikashindikana kujua kiuno na tumbo viko wapi na kunifanya kupata shida katika kuitafuta 'K'
6. Asiwe na makengeza
7. Asiwe na sauti ya kibase ya mwanaume
8. Asiwe na ndevu maana tutashindwa kutofautishana
9. Asiwe na utangoutango
10. Asiwe na bikra maana siku hizi zipo za kutengeneza. Nitarudi baadae kuongeza zingine

hii ni sheria, muswada au katiba?
 
jamani mi naona umri unasogea kauli ile ya bado niponipo imeanza kunishinda sasa waungwana nahitaji mwanamke mwenye sifa zifuatazo:-
1. Asiwe mweusi sana maana mimi ni mweusi naogopa tusije tukazaa mwenye rangi ya mkaa, you are not serious, wewe jipange tu kuoa mana suala la mtoto mweusi au mweupe wote ni watoto, cha msingi wape elimu nzuri na exposure utawapenda tu. Kwa lugha nyingine hata wewe haujikubali ulivyo, u feel scared of yourself kama hupendi mtoto wako asikufanane rangi yako? Navyojua wanaume wengi tunapenda watoto wetu hasa wakiume watufanane, wewe ni wa kwanza kati ya waliokinyume ya hilo. Lakini la msingi lililo nje ya uwezo wako as long as wewe ni mweusi hutazuia kumpata mtoto mweusi due to genetic combination kati ya wewe baba na mkeo wakati wa kupata mtoto, wewe unaweza kuwa na gene ya weusi ambazo ni dominant na yeye akawa na gene za black japo hazikuwa dominant ndo mana akaonekama mweupe ila zikajitokeza kwa mtoto wake na kuungana na zako dominant na kupata mtoto ambaye is too/very black. Kama hujaelewa sema nitoe elimu zaidi na pictorial presentation.
 
Nakushauri anza na sifa za tabia, izi xternal features zfuate bdae. Waeza pata wa namna hyo ila ukaja pata kiruka njia.
 
Yan we hujajua MABONGE ndo yenyewe utakuwa unakosa uhondo.

Tatizo unatumia muda mwingi kumuweka position ya kuifikia kuliko tendo lenyewe halafu unaweukajikuta unasugua kwenye mapaja ukidhani ndo yenyewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom