nahitaji kuoa mwanamke asiyekuwa na hizi sifa....

nitonye

JF-Expert Member
Dec 18, 2011
7,273
3,749
jamani mi naona umri unasogea kauli ile ya bado niponipo imeanza kunishinda sasa waungwana nahitaji mwanamke mwenye sifa zifuatazo:-
1. Asiwe mweusi sana maana mimi ni mweusi naogopa tusije tukazaa mwenye rangi ya mkaa
2. Asiyekuwa na mapengo wakati wa tabasamu avutie
3. Asiyekuwa na meno yaliooza na kujaa ukungu
4. Asiye kuwa na historia ya kuliwa na funza udogoni maana wanaharibu vidole na kucha za miguu
5.Asiwe bonge mpaka ikashindikana kujua kiuno na tumbo viko wapi na kunifanya kupata shida katika kuitafuta 'K'
6. Asiwe na makengeza
7. Asiwe na sauti ya kibase ya mwanaume
8. Asiwe na ndevu maana tutashindwa kutofautishana
9. Asiwe na utangoutango
10. Asiwe na bikra maana siku hizi zipo za kutengeneza. Nitarudi baadae kuongeza zingine
 
Tehe tehe tehe: nimecheka kwa sauti kubwa sana, hadi jirani zangu wakaniuliza kulikoni!

You have made my day!
 
Utakesha kupata wa aliye free 4rm ua qualities labda umuumbe mwenyewe..na weng washaolewa.
 
jamani mi naona umri unasogea kauli ile ya bado niponipo imeanza kunishinda sasa waungwana nahitaji mwanamke mwenye sifa zifuatazo:-
1. Asiwe mweusi sana maana mimi ni mweusi naogopa tusije tukazaa mwenye rangi ya mkaa
2. Asiyekuwa na mapengo wakati wa tabasamu avutie
3. Asiyekuwa na meno yaliooza na kujaa ukungu
4. Asiye kuwa na historia ya kuliwa na funza udogoni maana wanaharibu vidole na kucha za miguu
5.Asiwe bonge mpaka ikashindikana kujua kiuno na tumbo viko wapi na kunifanya kupata shida katika kuitafuta 'K'
6. Asiwe na makengeza
7. Asiwe na sauti ya kibase ya mwanaume
8. Asiwe na ndevu maana tutashindwa kutofautishana
9. Asiwe na utangoutango
10. Asiwe na bikra maana siku hizi zipo za kutengeneza. Nitarudi baadae kuongeza zingine

Mmmh...Hayaa,Nakutakia kila kheri bwana Nitonye..
 
namba 10 nimeipenda teh........ila na ww io sura yako mmh
ngoja lkn atajitokeza me aku.
 
Wenye pua ndogo kwa mitarimbo! Mzaha weka mbali. Utadhani waliweka oder kiwandani.

We kweli ni judgement nimekukubali, ya nini kuharibu kizazi cha mwenzio maana hiyo mtalimbo inakilegeza kizazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom