Nahitaji kununua anti-virus ianitwa QUICK HEAL.

Polisi

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,082
639
Wakuu, habari
Kuna anti-virus inaitwa Quick Heal nimeipenda sana. nilidowload ile ya majaribio sasa nataka ninunue. nisaideni jinsi ya kuipata. nataka kwa ajili ya matumizi binafsi siyo ya ofisi
 
uliipakua wapi? Angalia kampuni za kununua software usije kwanguliwa vijisenti vyote ktk credit card yako!
 
tumia kaspersky inaperform vizuri.
you can pm yr email nitakupa setup yake na activating codes
 
ofisini tumenunua hiyo kaspesky lakini daily inakwambia upadate na hata computer inakuwa nzito kuperfom. Ok, labda setting, nitakucheck
 
polisi..
theory ya antivirus ni kuwa ili iwe efficient na new threats lazima iwe updated mara kwa mara,isikutishe hio msg kwani unaweza cui-customize iwe inaupdate automatically every time unapoconnect na internet.
kuhusu uzito wa kuperform labda kama ni advaced features zimekuwa enabled wakati hazihitajiki au ni version ya zamani..hizi za 2009,2010 na 2011 ni poa tu
 
Huna haja ya kununua AV kwa matumizi ya nyumbani! Download avira antivir personal au Avast. Nimetumia zote na sijawahi hata siku moja kushambuliwa na virusi.
Comodo Firewall + Avast/Avira = Strong security!
 
aaah, kumbe. nashukuru
 
kaspersky2011 kweli ni nzuri nairecommend kwako.updates kitu cha kawaida mbona na swala la kuslow down computer i think the major problem there is Vista (terrible OS) XP & 7 mbna ina run efficiently
 
duh! JF kwa wizi ni kiboko! Yaani just a PM?????

Mkuu jamaa sio mwizi ila naona hata mimi ame ni save pia.....maana nilim PM na amenidondoshea kila kitu na nimeweka kwenye laptop yangu na inafanya kazi vizuri kabisa......ina mda mwingi pia wa kue expire.......si unajuwa tena sio kila mtu anataka kumwaga kila kitu hadharani??Kwa hiyo nampa big up kwa msaada wake na moyo wake...........
 
polisi..
theory ya antivirus ni kuwa ili iwe efficient na new threats lazima iwe updated mara kwa mara,isikutishe hio msg kwani unaweza cui-customize iwe inaupdate automatically every time unapoconnect na internet.
kuhusu uzito wa kuperform labda kama ni advaced features zimekuwa enabled wakati hazihitajiki au ni version ya zamani..hizi za 2009,2010 na 2011 ni poa tu

mmmmhhhh
ina elekea unajua sana mambo yako dear..

lakini kuondoa haya matatizo yote
si ununue tu apple brand
shida iishe..
 
Mkuu jamaa sio mwizi ila naona hata mimi ame ni save pia.....maana nilim PM na amenidondoshea kila kitu na nimeweka kwenye laptop yangu na inafanya kazi vizuri kabisa......ina mda mwingi pia wa kue expire.......si unajuwa tena sio kila mtu anataka kumwaga kila kitu hadharani??Kwa hiyo nampa big up kwa msaada wake na moyo wake...........

Asante sana mkuu kwa kuwa mkweli..enjoy!
 
mmmmhhhh
ina elekea unajua sana mambo yako dear..

lakini kuondoa haya matatizo yote
si ununue tu apple brand
shida iishe..

ni kweli usemayo AD...lakini ulichonacho ndo kikufaacho boss wangu,kidogokidogo tutafika,thanks for good valuable advise
 
Mkuu jamaa sio mwizi ila naona hata mimi ame ni save pia.....maana nilim PM na amenidondoshea kila kitu na nimeweka kwenye laptop yangu na inafanya kazi vizuri kabisa......ina mda mwingi pia wa kue expire.......si unajuwa tena sio kila mtu anataka kumwaga kila kitu hadharani??Kwa hiyo nampa big up kwa msaada wake na moyo wake...........
Amekusave sawa lakini hata mafisadi wanatoa misaada, sasa kwa nini tunalalama?
Hajanunua licence kwa ajili ya distribution kwa hiyo ni wizi tu!
 
Mircosoft security essentials mwisho wa matatizo, bure na very light on the system. Antivirus zio vizuri kutumia ambayo iko cracked.
 
Back
Top Bottom