Nahitaji kumpata mwanaume mwenye uhitaji na serious relation

ila
Sifa za mwanaume:
-Awe mkristo
Umri kuanzia 29-35
Awe na kipato chake
Mwenye mapenzi ya dhati

Sifa zangu
Mimi ni mkristo
Nina miaka 27
Rangi yangu ni black(beauty)
Nimeajiriwa serikalini.
Karibuni
ila huna mapenzi ya dhati hali unatafuta mwenye mapenzi ya dhati…mmmh!
 
"Hizi sio sifa za kumfanya mtu akuoe. Serious people dont look at characteristics you mentioned. Are you aware of inner beauty? Try to do research on what men want in their wives and start over again.
Una uhakika utampata mtu wa kukuoa humu kweli? ebu ni pm tafadhar
Huna sifa tunazohitaji wanaume.sifa ulizoziweka niza watoto wa kiume."QUOTE

Acheni kumvunja moyo mdada wa watu mbona wengi tu humu mmewaponda lakini baadae wanarudi na ushahidi wamepata waliokuwa wanawatafuta? Nina imani na huyu atapata tu na atarudi na ushuhuda ndoa itafungwa na wewe usiyeamini na usiyetaka kutafuta kupitia hap jf kazi yako kuponda watafutaji wakati wewe huna utasubiri sana utakumbuka shuka kumeishakucha. Jf ndo kila kitu hapa mapenzi yanazaliwa humuhumu na ndoa zinafungwa humu na watoto wanapatikana humuhumu na uzee nao utakukuta humuhumu na hata kifo kitakukuta hapahapa.
Huku istragram kule kuwa watu wali tafutana istra wakaona istra wakapata mtt istra wakaachana istra
 
Sifa za mwanaume:
-Awe mkristo
Umri kuanzia 29-35
Awe na kipato chake
Mwenye mapenzi ya dhati

Sifa zangu
Mimi ni mkristo
Nina miaka 27
Rangi yangu ni black(beauty)
Nimeajiriwa serikalini.
Karibuni

Watakuja sasa hivi utawakimbia ila angalia wengine matapeli
 
Sifa za mwanaume:
-Awe mkristo
Umri kuanzia 29-35
Awe na kipato chake
Mwenye mapenzi ya dhati

Sifa zangu
Mimi ni mkristo
Nina miaka 27
Rangi yangu ni black(beauty)
Nimeajiriwa serikalini.
Karibuni
Hizo sifa nnazo zote ila mi ni mdau wa kitwanga... am real serious
 
0766092952 na 0656702505 tutakusaidia
 

Attachments

  • ndoa yako pic.jpg
    ndoa yako pic.jpg
    19.1 KB · Views: 62
Sifa za mwanaume:
-Awe mkristo
Umri kuanzia 29-35
Awe na kipato chake
Mwenye mapenzi ya dhati

Sifa zangu
Mimi ni mkristo
Nina miaka 27
Rangi yangu ni black(beauty)
Nimeajiriwa serikalini.
Karibuni

tayari umeshapata,ama nikutafute tuongee?
 
Sifa za mwanaume:
-Awe mkristo
Umri kuanzia 29-35
Awe na kipato chake
Mwenye mapenzi ya dhati

Sifa zangu
Mimi ni mkristo
Nina miaka 27
Rangi yangu ni black(beauty)
Nimeajiriwa serikalini.
Karibuni
0757555715 ni cheki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom