Nahitaji kujua ubora wa MAZDA RX-8 mwenye kufahamu kuhusu hii chombo

Hicho chombo nikinzuri but spear pat Bei yake Imechangamka ,Alfu ingini yake Aina piston ina tumia Rota
 
mkuu hiyo mashine ni mziki mwingine kama ww nikijana wa mambio kamata hiyo achana na vijana wanao sema sijui subaru hapo hawatii mguu mzee.

rota engine ni kama motor mkuu
Mkuu Lege ktk ubora wako nakukubali sana mkuu.
 
Mkuu half life ya engine maana yake nini?
nifahamuvyo mm na rx8 nyingi nilizokutana nazo ni kuwa gari engine ikisha tembea na kufika 100k basi engine huwa inatakiwa ubadilishe lazima itaanza kusumbua huwa zinakuwa na miss na huwa zinaanza kuzimika zimika sana .
 
Duh yaani ununue injini mpya kila baada ya kilomita laki?

Na Honda Fit jee?
 
ilishaikuta hii gari kwa ally masubaru maeneo ya sakina wakasema hii gari inatakiwa ibadilishwe ingini kwan inatakiwa itembee km 100000. duuuuu kumbe mambo ya ROTA. wacha tutumie mi piston yetu haya mambo tuwaachie watasha
 
  • Thanks
Reactions: efn
Asee nilinunua Mazda rx 8 ya 2005, ilikua inatumia rotary engine, manual, ni cc 1300 only lkn inatoa zaid ya horse power 200 na zaid. Tatizo kubwa la rotary engine ni "FLOODING" hapo ndo kwenye shida Sana. So kwenye rotary engine haitakiwi gari asubuh kuiwasha na kuondoka hapohapo unaiacha kwanza inachemka then ndo unaondoka na ukija kuipaki usiizime pia hapohapo. Na ili idumu atleast kila siku lazima uhakikashe gari inakimbizwa mpk mshale ufike kwenye redline, kwangu ilikua ni rpm 9000 ukifanya hivyo inadumu. Lkn since pia Rotary engine haitumii piston inakula engine oil saana saaana lkn ni engine yake ina nguvu Sana. Kwa wale wanaodhani eti ukubwa wa engine unachangia ulaji wa mafuta mnajidanganya hii Mazda rx 8 ilikua ni cc 1300 lkn lita 1 km8 highway na lita 1 km 6 kwenye foleni sababu ni sports car. Imagine cc 1300 lkn subaru forester, alteza sijui vi sport car zilikua hazikatizi mbele ya gari yangu. Ooh I will miss my Mazda
 
mkuu hiyo gari ni moto mwingine tatizo watu washa kalili kuwa subaru ndio gari za mbio lkn sio kweli aisee.matunzo ya gari za rotar kwa bongo ni shida kidogo
 
Ukweli mtupu Mkuu, aisee hio ndinga I nakimbiza balaa na ratio yake ni 50:50 ni moja Kati ya magari yenye balance Sana road unakata kona uko kwenye speed kubwa lkn husikii chochote. Hata kesho solution ya rotary engine ikipatkana hapa bongo ntainunua tena chief
 
solution yake ndio hiyo mkuu unavua jiko unaweka jiko jingine tatizo mnao miliki magari mm mnanishangaza sana watu mnaagiza magari ya mpaka milion 50 lkn kuagiza spea za laki 5 au mbili tatu hata milion mnashindwa mwisho wake magari yanakufa na kuozea magereji.mtu anahangaika wee kutafuta spea wakati ukiingia online unakuta bei ya kutupwa sana.

mfano wa engine unakuta gari imesumbua control box au nozel au sensor yoyote ile bongo haipatikani ila ukiagiza unaipata badala ya kuagiza wanashauriana na fundi na kushusha engine na kuweka engine tofauti modification nyingi mwishowe gari linakuwa bovu zaidi
 
Mkuu kama kuvua jiko haina gharama kiviile, mimi nitaangalia kitu roho yangu inapenda, ni bora kujitwalia tu.
 
Back
Top Bottom