Nahitaji kujua kuhusu kiongozi wangu Dk Slaa

Ni poa tu kuuliza, coz anatuchanganya. Kamili yuko kimya si coz kazimwa na ubunge wa viti maalumu! unajua JF mtu akizungumzia watu manowaamini mnakuwa defensive sana, ndio ni kiongozi wangu nilimpigia kura lakini currently anazini, hili la kusema wangapi wana ndoa safi kwanini awe kati ya wachafu, he is unique individual n kwenye suala la familia inayoeleweka ingemuongezea credit for sure. Angalia Obama na familia yake anaheshika zaidi apart from his intelligency pia the way anahandle domestic issues coz asikudanganganye mtu familia ikitulia inampa utulivu muhusika na anakuwa more productive, so atuambie anazini now if yes lini ataishi maisha safi, angalau kwenye face ya jamii tu wether anajichanganya huko pembeni kivyake bt at least in da face

nani kakuambia utulivu unaupata kwa 'first wife' pekee yake??..obvously hakuupata ndio akaamua kuutafuta kwa mara nyingine...
binadamu huwa tunasearch mpaka pale tunapopataka,sometimes watu wanarush kny marriage wakija shtuka ni majuto!kama yeye aliweza kujinasua then he was really courageous !wengi wamebaki kny huo mtego wakisingizia watoto,mazoea etc
na kisha kama unaona huyo mkewe 'halalamiki' means walishindwana na yeye anajua it is for the best,walivyoachana....!
 
SIO MAISHA BINAFSI EBO! ana issue ya kuelezea hapa hata ikibidi Padri mwenyewe maana Nimeshamuona hapa JF, issue hizi zipo sasa mahakamani! unaziita binafsi WE unacheza eeh, It is a crosscutting issue! If the judgement will be in favour of the petitioner, The compasation of 1bil which PADR SLAA- here reffered to as an adultery… has to pay the real husband of the lady (his <so declared > wife to be) will be taken from CDM funds, do CDM have the budget for someone committing open ADULTERY? NO.. in any case part or all of SABODOs funds will be used for this dirty purpose.. So it’s better this issue tobe discussed, it is no longer social ! it is indeed political and economical as well!
 
SIO MAISHA BINAFSI EBO! ana issue ya kueleza hapa hata ikibidi padri mwenyewe maana nimeshamuona hapa JF,ISSUE HIZI ZIPO SASA MAHAKAMANI! unaziita binafsi we unacheza eeh! It is a crosscutting issue! If the judgement will be in favour of the petitioner, The compasation of 1bil which PADR SLAA- here reffered to as an adultery&#8230; has to pay the real husband of the lady (his <so declared > wife to be) will be taken from CDM funds, do CDM have the budget for someone committing open ADULTERY? NO.. in any case part or all of SABODOs funds will be used for this dirty purpose.. So it's better this issue tobe discussed, it is no longer social ! it is indeed political and economical as well!
 
Dk Slaa aliachana na mke wake wa awali mama Kamili. Sababu za kuachana ni zipi? Sijawahi kuzisikia wala kumsikia mama Kamili akilalamika. Katoliki wameanza kuruhusu talaka? Huyu FL1 wa sasa Dk si anachakachua? Kuna uhalali katika hili? Ni maswali machache ambayo wengi tungependa kupata majibu yake

To me huu ni udaku tu,ukijua au usipojua inakusadia nini,after all we all have dark sides.Lets try to be more objective.
 
Dk Slaa aliachana na mke wake wa awali mama Kamili. Sababu za kuachana ni zipi? Sijawahi kuzisikia wala kumsikia mama Kamili akilalamika. Katoliki wameanza kuruhusu talaka? Huyu FL1 wa sasa Dk si anachakachua? Kuna uhalali katika hili? Ni maswali machache ambayo wengi tungependa kupata majibu yake

Dhumuni mojawapo la ndoa ni ili mtu utulie, kama Slaa hana ndoa ina maana utulivu ni ZERO. Teh teh teh itabidi dada zetu wawe wanajifungia ndani mapema kwani Slaa sasa anashindana na ZUMA na KINGMSWATI kwa kubananisha vidosho, teh teh teh !!
 
Nashangaa sana wakati mwingine. Nikiwa kwenye pc nitawawekea link za mada ambazo hamkuwa na muda wa kuzijadili. Naona hii ndio inajadiliwa kwa kuwa inamhusu mtu na si jambo.

Nakuambia wafuata mkumbo unawaona tu wakienda wazima wazima kama kumbukumbi, hutawaona kwenye topic za katiba, ila za kumlinda Slaa eti is Ok ALICHOFANYA! ila JK kusemwa ana vimada ni sawa!!!! hii aibu hii!

Ninachofurahia kanisa katoliki huwa hawafanyi Castration!
 
kweli mkuu. Watu wanapenda vyepesi sana
 
Dk Slaa aliachana na mke wake wa awali mama Kamili. Sababu za kuachana ni zipi? Sijawahi kuzisikia wala kumsikia mama Kamili akilalamika. Katoliki wameanza kuruhusu talaka? Huyu FL1 wa sasa Dk si anachakachua? Kuna uhalali katika hili? Ni maswali machache ambayo wengi tungependa kupata majibu yake

Vp mbona unachunguza sana unataka akuoe wewe,kwa nini unachunguza historia ya ndoa ya mtu na sababu za kuachana? maana wenye kufanya hivyo ni wale wenye kutaka kuolewa na watu wanaowachunguza mahusiano yao yaliyopita.Ok kama ni hivyo nenda pale makao makuu ya CHADEMA uonane na Dr. wa ukweli
 
Unajua jinsia ya mtoa maada? msije kuanza kuanika mambo ya mapadre kulawiti watoto wadogo ,muwe waangalifu na majibu yenu! kwanza hukumtendea haki na sasa unataka tuanze kufunua mengi..... nyie walinzi wa viongozi wa chadema mnaweza kuhimili shocks??
 
Unajua tunapoanza kuzungumzia hizi trivial issues tena kwenye jukwaa la siasa.... utazadhani issue za maana tushazipatia ufumbuzi.... Dowans? Ufisadi?, Katiba?, NEC, Viongozi Kujimegea Ardhi, ATCL, Magari ya Mawaziri 280 Million, Hakuna Ajira, Maisha Magumu kila siku, Bandarini unaagiza mzigo unakaa mwezi mzima, Rushwa... Je tumeshajadili hayo yote tukamaliza? au hili ndo la maana zaidi.
 
Ni kawaida kwa mwanamke akitaka kuanzisha uhusiano na mwanaume basi huulizia kuhusu uhusiano wake wa nyuma kwa hiyo mimi simshangai Raia Fulani kwa kuwa hizo ni tabia za kike
 
Naona watu wamepata topic ya kutoa hoja kadri ya peo zao. Nadhani kwa wale wote wanaoendelea kujibu hovyo jibu lao lipo huko juu kati ya post zangu
 
quote_icon.png
Originally Posted by Raia Fulani
Dk Slaa aliachana na mke wake wa awali mama Kamili. Sababu za kuachana ni zipi? Sijawahi kuzisikia wala kumsikia mama Kamili akilalamika. Katoliki wameanza kuruhusu talaka? Huyu FL1 wa sasa Dk si anachakachua? Kuna uhalali katika hili? Ni maswali machache ambayo wengi tungependa kupata majibu yake

Hoja yako si ya kisiasa,haiihusu chadema,imekaa kibinafsi zaidi kwa hiyo na sisi tunajibu kibinafsi.Tunataka utuambie jinsia yako kama ni ya kike tukuelewe vizuri kuwa unamtaka Dr.Slaa.

Kwanza naona hii thread haiko mahali pake ipelekwe kwenye Jukwaa la Mahusiano, mapenzi, urafiki
 
Unajua tunapoanza kuzungumzia hizi trivial issues tena kwenye jukwaa la siasa.... utazadhani issue za maana tushazipatia ufumbuzi.... Dowans? Ufisadi?, Katiba?, NEC, Viongozi Kujimegea Ardhi, ATCL, Magari ya Mawaziri 280 Million, Hakuna Ajira, Maisha Magumu kila siku, Bandarini unaagiza mzigo unakaa mwezi mzima, Rushwa... Je tumeshajadili hayo yote tukamaliza? au hili ndo la maana zaidi.

Great VoR, naheshimu sana michango yako ni mmoja wa JF wachache sana wenye uhuru wa mawazo waliojiunga karibuni.

Ulichosema ni sahihi, kwa mfano katika mkutano wa CDM uliofanyika huko Bagamoyo ebu waulize wale wabunge woote kama walijadili hayo hapo juu na mikakati gani waliiweka, waulize kama kuna mtu alkikuja na hoja ya strategy za kupata katiba mpya! no one! sembuse JF ,

tumeshaloose track ya kutaka publicity kwa gharama yoyote na si kudharaulika kwa ajili ya kutetea watu, hii imeifanya siasa kwa halisia yake TZ kuwa ni kichekesho, sehemu za visasi, sehemu ya kutokuwa na busara...n.k

ni kweli ni muda mzuri wa kutatua matatizo na chadema walitegemewa hivyo, ikiwa akina Slaa anawashinda kushindana na akina Zito kwa kutaka umaarufu what else do you want?
 
Hoja yako si ya kisiasa,haiihusu chadema,imekaa kibinafsi zaidi kwa hiyo na sisi tunajibu kibinafsi.Tunataka utuambie jinsia yako kama ni ya kike tukuelewe vizuri kuwa unamtaka Dr.Slaa.

Kwanza naona hii thread haiko mahali pake ipelekwe kwenye Jukwaa la Mahusiano, mapenzi, urafiki

siasa kwako ni nini? Kwa taarifa yako habari huwa inategemea nafasi ya mhusika.
 
Back
Top Bottom