nahitaji kufanya biashara naombeni mwongozo

The Infamous

JF-Expert Member
May 11, 2009
731
121
mimi sijasoma biashara ila nataka sana kufanya biashara lakini nimeshindwa nifanye biashara ipi sina mtaji mkubwa ni kama one milion, nategemea eneo la biashara liwe MWANZA kwani mi ni mkazi wa hapa..naombeni ushauri wa mawazo kwa wazoefu wa biashara...
 
MIMI NAKUSHAURI UKAE CHINI UOREZESHE BAADHI YA IDEA AMBAZO UNAONA ZINAPATIKANA MWANZA THENI ZICHUJE MPAKA UBAKIE NA AMBAYO UNAONA ITAKUFAA KULINGANA NA MTAJI WAKO.
TENGENEZA MPANGO KAZI WAKO.
NI VIGUMU KWA MTU MWINGINE KUKUCHAGULUA WAZO LA BIASHARA COSE WAZO LA BIASHARA LAZIMA LITOKANE NA WEWE MWENYEWE KULINGANA NA MAHALI ULIPO NA FURUSA ZILIZOPO
.

KUHUSU MTAJI.
1. HAKUNA MTAJI MAALUMU WA KUAZISHIA BIASHARA, WATU WANAZANI KUANZISHA BIASHARA MPAKA UWE NA MAMILIONI YA SHILING
2. KUNA WATU WALIANZA NA MTAJI WA SH 20000 NA SASA WAKO MBALI SANA KIKUBWA NI MALENGO
3. UNAWEZA TAFUTA MTU AMBAE UNAONA MUNAENDANA NA MKAJOINI NGUVU ZENU PAMOJA NA KUFANYA KAZI.
4.SAJIRI BIASHARA YAKO EITHER KAMA KAMPUNI, AU MTU BINAFISI, NI MUHIMU UANZE NA BIASHARA UKIWA UMEJISAJILI

MWISHO KAMA UMEAMUA KWELI KUANZA BIASHARA USIRUDI NYUMA SONGA MBELE DAIMA, BIASHARA NI KAMA VITA HAUTAKIWAI KUJISALIMISHA KIRAHISI, NA KUSHINDWA NA KUFANIUKIWA KATIKA BIASHARA NDO OPSHENI ZILIZOPO SO HUNA BUSI KU OPT

TUMIA NA HIZI HINTS KIDOGO.
• 20 tips
1. Use existing skills to supply a specialist product
2. Turn your hobby into a money maker
3. Social trends
4. What type of person are you?
5. What's missing locally?
6. Are there any opportunities for tourism or
leisure businesses in your area?
7. Use new technology to build a business
8. Research large firms, local authorities and
other public bodies in the area
9. Think about selling other people's goods
10. Watch the news
11. Cash in on current trends
12. Copy business ideas that have taken off
elsewhere
13. Keep up with changes in the law
14. Buy an existing business
15. Use all the research tools you can find
16. Provide a service that helps others feel good
17. Could you go freelance?
18. Look out for potential labour shortages
19. Cash in on the 'time-poor'
20. Could you invent something?
• Hints and tips
• Further information
 
kaka nimekusoma sana...wacha nifanyie kazi haya maswala kwanza.
 
Back
Top Bottom