Nahitaji kufahamu juu ya hili..

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,973
1,398
Nimefanya mapenzi na watu tofauti tofauti,kuna wengine nilikuwa nawapa uume wangu wananyonya na wengine hadi wanakunywa mbegu zangu za kiume.uwezekano wa maambukizi ya ukimwi hapo yako kwa kiasi gani.Tukienda kufanya mapenzi harisi mpira unatumika hapo imekaa vipi?
 
*Kama ulikuwa
na michubuko
kwenye
penis naye
akawa nayo
mdomoni chance
ya kuambukizana
ni kubwa.

*Kwa uliyemlisha
manii hata kama
wewe huna
michubuko ila una
maambukizo <kwa mfano>.
Kama ana
michubuko
chance ya
kumwambukiza
ni kubwa.

*Kama wote
hamna
michubuko
chance ya
kuambukizana ni
ndogo.

5 FACTS TO NOTE:

i) Kiasi kikubwa zaidi cha virus hupatikana kwenye damu pamoja na majimaji yatokayo sehemu za siri.

ii) Hakuna uthibitisho unaoonyesha kuwa HIV anapatikana/kusambazwa katika mate (pure saliva).

iii. Even michubuko midogo isiyoonekana/kuhisiwa kirahisi inaweza kutrasmit VVU (katika hali hii chance ni 0.01%)

iv. Ni kipimo sahihi cha HIV pekee ndicho kitakuhakikishia serostatus yako.

v. Suala la kunyonyana hizo sehemu licha ya kuweza kueneza HIV linaweza kueneza kwa urahisi magonjwa ya zinaa. Utashangaa mtu unaugua vidonda vya koo visivyopona,kumbe ndo tayari tena umekunywa neisseria gonorrhoea <pengine>.

TAKE CARE BRODA!
 
Umemaliza kilakitu, message send, delived and saved, kwa wale wanaopenda kwenda uvinza na kulamba Azam(cone) nadhan watakuwa wamekusoma.
 
ukubwani utakuwa kikojozi kwani mishipa ya uume itakuwa imelegea take care
Do u think for those who kiss a thumb in ass...hole will go even -2pac
 
Back
Top Bottom