Dan84
Member
- Apr 3, 2012
- 49
- 24
Wadau wa soka, kwa mujibu wa uelewa wangu, natambua tofauti ya nyuzi za longitudo 15 ni sawa na saa 1. Uingereza (nyuzi 0), tz (nyuzi 45 masharik) tofauti, inakuwa masaa ma3, kwa hiyo unategemea uingereza ikiwa sa 9, tz tunaangalia game sa 12, lakin kuna vipindi badala ya sa 12, huku tunaangalia sa 11 jion, nifahamishwe tafadhali? (samahan mpangilio mbovu, nimetumia simu, wenye maarifa ya jiografia, mnakaribishwa)