Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kusema tu linux haitoshiWana jamvi naomba msaada wenu, nahitaji kutumia modem yangu ya tigo (zile za zamani) au voda zte k3571 katika kuunganisha internet ili niitumie kwenye linux, nifanyeje, nisaidieni,
Linux na ubuntu, unaweka modem tu, then inaconnect. Hamna haja ya uingiza program kama kwenye window na mac. Ni easy kwenye linux na ubuntu.
Msheshimiwa ningependa kukupinga kwa ilo......kama ni mtumiaji wa ubuntu version chini ya 11.04 lazima utakutana na hii shida....huwa hazi detect modems unless u download n install wvdial...