Nahitaji kuachana na huyu mwanamke,naomba ushauri wako tafadhali!

ww mtoa mada,yaan bado unaishi kizamani hivyo?suala la historia yake ww ya nn?(mkapime afya)full stop!...suala la mtoto ni mipango yenu nyie km aende kwa baba yake au kwao kwa mwanamke(ww hakuhusu)....unless humpendi mwambie ukweli ucmpotezee muda
 
...wait a minute! nkiangaliaga mivu, deleting one's past is done thru murdering those involved back then. How do u do urs madam lara 1.

btw, nakumbushia request yangu ya a lunch date..jus dat!

Hahahaaaaa! Hiyo siri ya biashara!, wewe nawe kwa uchoyo!!! Hiyo LUNCH si ungeni PM basiii, mambo gani ya kunitega na kunipima imani HADHARANII!!!? Afu nilivo nahamu ya OFAAA! Basi tena, ushanilazimisha NIIKATAE HII OFA, japo naitamani ilihali niudhibitishie umma kuwa SIPENDI VYA BURE!!! LOLEST!!!
 
Apo unakuwa mbishi kama Sinta sio? hahahaha
 
Kulia mbwembwe man, hawa viumbe wana phd ktk kuongopa! Na ukirudiana nae tu blv t o nt, utafall wewe na weakness zake me nina experience nazo so take a move man! Take it frm me

Mkuu pamoja hawa viumbe wana PHD ya uwongo,yaani mpe chance demu yakusikiliza background yake utajuta,yaani ni waongo hawa viumbe sijaona,na wanajua kupanga maneno utadanganywa mpaka ukijastuka too late,sasa ukitaka kuwafaidi ukute demu kagombana na mumewe au bwana wake muulize uone raha hapo,utadhani yatima kafiwa na wazazi wote,atakupa za chembe balaa
 
Unamusikiliza mwanamuke! kweli wewe unamatatizo mujukuu wangu. Kichwa chako kinamadudu kabisaaaaa. Marehemu babu yangu aliniambiaga.
 
Hahahaaaaa! Hiyo siri ya biashara!, wewe nawe kwa uchoyo!!! Hiyo LUNCH si ungeni PM basiii, mambo gani ya kunitega na kunipima imani HADHARANII!!!? Afu nilivo nahamu ya OFAAA! Basi tena, ushanilazimisha NIIKATAE HII OFA, japo naitamani ilihali niudhibitishie umma kuwa SIPENDI VYA BURE!!! LOLEST!!!

my dia lara 1....BURE!??? whoever talked abt cha bure??? Huijui hii!??

2012-07-12 17.12.09.jpg
 
Last edited by a moderator:
Dah! kiukweli moyo wangu haujaridhika kabisa,alafu ujue wanaume wengi pia wakipenda ndo hivyo tena hata kwa gharama yoyote anaweza kuhakikisha hatomwacha.Hapo cha msingi mawasiliano ntapunguza taratbu.

yah thats it..penye nia pana njia
 
ww mtoa mada,yaan bado unaishi kizamani hivyo?suala la historia yake ww ya nn?(mkapime afya)full stop!...suala la mtoto ni mipango yenu nyie km aende kwa baba yake au kwao kwa mwanamke(ww hakuhusu)....unless humpendi mwambie ukweli ucmpotezee muda

Well said sina nyöngeza
 
Back
Top Bottom