nahitaji kua na galfriend ila nashindwa

salaam jf
Leo nimeamua na mimi kupost hapa kuhusu tatizo la kukosa mwenza mpenzi kwa muda mrefu. Well, nina miaka 26 sasa, niko chuo kikuu mwaka wa 3 nasoma computer engineering. Katika maisha yangu sijawahi kua na galfrnd, nimejaribu mara kadhaa kua nae kila binti ninaemtaka aidha anakua na mtu au havutiwi na mimi na hivyo jibu la hapana nishalizoea. Wanataka tu urafiki wa kawaida, hakuna ambaye anakua yuko tayari kua na mimi. Jambo hilo linaninyima raha sana, nimeanza kuogopa kutongoza na kuna wakati nikiwaona au kusikia watu fulani ni wapenzi nakosa furaha na kujiuliza sana why not me?! Naombeni ushauri wenu.

Ngosha ,

Nisikilize kwa Makini...

1. Kila kijana akiwa na umri huo anakuwa na ufahamu wa kutaka kudadisi na kujua zaidi kuhusu mahusiano na mtu wa jinsia tofautu...hiyo ni kawada na hakuna shaka juu ya hilo na unavyojihisi.

2. Kama unaweza kuwa na msichana na makwa marafiki tu ...hiyo ni ishara kuwa wewe ni sawa kabisa... Na kama unahitaji kupitiliza na unajikuta haiwezekani ..Mshukuru Mungu .. kwani... Ufahamu wako unakulinda usianze kuujua unadani wa mahusiaano kwani uanweza kukukwamisha kwenye maendeelo ya maisha yako... Hii hutafautiana kwa mtu hadi mtu ... Hii kwako ni bahati kubwa.

3. Kuwa makini usijihisi kujilaumu wala kujichukla na kujitilia shaka juu ya uwezo wako wa kiuma ..uko sawa sana... Hivyo ondoa hisia za kujichukia, kujishuku, kuwa na wasiwasi wowote ...maana hisia hizi zitakuharibia .... Maisha yako ....wakati wewe ni Mtu safi tu...Chapa kitabu ..kuwa na Marafiki wa kike ...rafiki wa kina atajitokez a..mwenyewe tu ...na usuharakishe ...kuwa na sexual realtion ...kuwa na moyo mkuu ..hiyo itajitokeza Tu kama ni mtu sahihi ... Muda sahihi ... na Kama hali ni timilifu ....wala hakuna pupa!!

Jamaa inaonekana boom lake hapendi kuligawa kwa watoto! Wengine huwa wakitoka out (au hata kama imetokea mko na dent wa chuo pamoja mnakula msosi) unamlipia! Ikifika wiki mbili tu boom kwishney!

it's nt like u thnk! I spend whenever i have to, with anyone and stil i got enough for charity works. Hey, nt everyone depends on heslb bro!

Ngosha ,

Nisikilize kwa Makini...

1. Kila kijana akiwa na umri huo anakuwa na ufahamu wa kutaka kudadisi na kujua zaidi kuhusu mahusiano na mtu wa jinsia tofautu...hiyo ni kawada na hakuna shaka juu ya hilo na unavyojihisi.

2. Kama unaweza kuwa na msichana na makwa marafiki tu ...hiyo ni ishara kuwa wewe ni sawa kabisa... Na kama unahitaji kupitiliza na unajikuta haiwezekani ..Mshukuru Mungu .. kwani... Ufahamu wako unakulinda usianze kuujua unadani wa mahusiaano kwani uanweza kukukwamisha kwenye maendeelo ya maisha yako... Hii hutafautiana kwa mtu hadi mtu ... Hii kwako ni bahati kubwa.

3. Kuwa makini usijihisi kujilaumu wala kujichukla na kujitilia shaka juu ya uwezo wako wa kiuma ..uko sawa sana... Hivyo ondoa hisia za kujichukia, kujishuku, kuwa na wasiwasi wowote ...maana hisia hizi zitakuharibia .... Maisha yako ....wakati wewe ni Mtu safi tu...Chapa kitabu ..kuwa na Marafiki wa kike ...rafiki wa kina atajitokez a..mwenyewe tu ...na usuharakishe ...kuwa na sexual realtion ...kuwa na moyo mkuu ..hiyo itajitokeza Tu kama ni mtu sahihi ... Muda sahihi ... na Kama hali ni timilifu ....wala hakuna pupa!!

thanks bro! I wil cal it a day!

Nikiangalia umri wako; naona kuwa hunahaja ya kuwa na wasiwasi wa hayo unayoyafikiria. Bado ni mapema sana. Jihakikishie maisha yako vizuri. Pata kazi na hapo unaweza kufikiria suala la kuoa siyo kuwa na girlfriend. Rafiki wa kike wa kazi gani au unataka wengine wakuone kuwa na wewe si haba. Hilo ukilitekeleza linaweza kukusumbua mambo yakikuchengia maana kuna wazoefu wa kuwa na ma-girlfriend.

Ukiwa na kazi nzuri watajileta wenyewe tu na wewe sasandio uchague. Weka mbele zaidi sala na umwombe Mungu sana akupe mke unayeendana naye si ilimradi mke. Wanawake wengi wanaangalia usalama wa maisha yao ya sasa na ya baadaye; sasa pengine kutoka kwako kwa jinsi ulivyojiwekea misimamo yako wanaona kuwa hutawakidhi haja zao. Kumbuka wanawake wana vigezo vyao vya kuchagua lkn kubwa zaidi ni usalama wa maisha yao pia kama unaintertain mambo fulani fulani kama tutoke zetu- twenzetu bichi----gharama hizo. Unaona!!! Subiri!!!!!!!!!

Mi ningekuwa wewe ningeshukuru sana kwa nafasi hiyo, maana mi walikuwa wananitokea lkn nashindwa kuamua naishia kuharibu. Dunia ya leo ni ya magonjwa sana. Hali ikiwa hivyo hata silaha hukumbuki maana na wewe unajisikia ahaaa! Mi napendwa mie, kesho kifo.

Kwa hiyo kaza buti usome sana na upate kazi yako na sasa utafute mke. Mke wa kuoa hayupo chuoni kwako peke yake, hatuoi elimu au mali unaoa mtu (kwa upendo wake kwako). Wapo wasichana wa vyuo vya chini, kwa hiyo wapo wengi sana ni wewe tu mtu wangu.

Kila la kheri

thanks bro! We dini gani? Nimependa sana ushauri wako, nitaku pm

wewe unatongoza ambao sio level zako

ndo maana unakataliwa

hebu shuka chini

anza na akina mama ntilie hivi wa maeneo ya kwenu upate uzoefu.....

ngoja nikupe orodha
1. Mwanafunzi mazinde juu
2. Mwanafunzi muccobs
3. Mfanyakazi wa hotel mwanza
4. Mwanafunzi Geita
5. Bank teller shinyanga
6. Mfanyakazi wa stationary moshi
7. Mwanafunzi dom sec
8. Mfanyakazi wa internet cafe dodoma
9. Barmaid morogoro
10. My classmate chuo
11. Mwanafunzi diploma social work
12. Mwanafunzi 1yr st joseph
13. Mwanafunzi 1yr saut
14. Mwanafunzi mbezi sec
15. Mwanafunzi hazina
16. Mwanafunzi cbe 2nd yr
17. Mfanyakazi wiraza ya ardhi
18. Mwalimu shule ya msingi mwanza
19. Mwanafunzi ucc
20. Model
21. Mwanafunzi 1st yr udom
22. .....the list goes on

ngoja nikupe orodha
1. Mwanafunzi mazinde juu
2. Mwanafunzi muccobs
3. Mfanyakazi wa hotel mwanza
4. Mwanafunzi Geita
5. Bank teller shinyanga
6. Mfanyakazi wa stationary moshi
7. Mwanafunzi dom sec
8. Mfanyakazi wa internet cafe dodoma
9. Barmaid morogoro
10. My classmate chuo
11. Mwanafunzi diploma social work
12. Mwanafunzi 1yr st joseph
13. Mwanafunzi 1yr saut
14. Mwanafunzi mbezi sec
15. Mwanafunzi hazina
16. Mwanafunzi cbe 2nd yr
17. Mfanyakazi wiraza ya ardhi
18. Mwalimu shule ya msingi mwanza
19. Mwanafunzi ucc
20. Model
21. Mwanafunzi 1st yr udom
22. .....the list goes on

yaani hao wote mpaka barmaid akukatae?
basi we una tatizo lingine aisee
labda ungeenda kuombewa kwanza sio bure

Similar Discussions

Back
Top Bottom