Nahitaji kiwanja kilichopimwa -sehemu kama kitunda, kimara, mbagala

Mbwambo

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
625
93
Wapendwa ninahitaji kiwanja kilichopiwa ambacho kipi sehemu nzuri sina million kumi wapendwa
asanteni
 
Du hayo maeneo hakuna viwanja vilivopimwa, wewe ukikipata acha hatua kadhaa kwa ajili ya barabara na mtaa then anza ujenzi
 
vipo maeneo ya mbagara kuna sqm 750 inauzwa 15m na vingine vingi vipo tuwasilliane 0657145555
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom