Nahitaji kingamuzi cha startimes..used!!

SHAROBALO

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
771
349
Guys

kama unakingamuzi umekichoka...au hukihitaji tena...mi natafuta kimoja...bei elfu 35.

nahitaji sio kukitumia ila kuna vitu naviyaka toka mule ndani. kisiwe cha uwizi wala kisiwe kibovu.

kiwe online sababu kabla ya nmalipo nitaenda kukiulizia kama kipo poa ofisi za startimes.

so anyone interested...pm me
 
ingawa kiswahili hujui vizuri, tuambie umegundua vina kitu gani ndani yake kama ni Tanzanite tuchangamkie dili mapema mkuu
 
guys

kama unakingamuzi umekichoka...au hukihitaji tena...mi natafuta kimoja...bei elfu 35.

Nahitaji sio kukitumia ila kuna vitu naviyaka toka mule ndani. Kisiwe cha uwizi wala kisiwe kibovu.

Kiwe online sababu kabla ya nmalipo nitaenda kukiulizia kama kipo poa ofisi za startimes.

So anyone interested...pm me

nunua kipya.
Bei mbona sio kubwa tsh. 59900/-
 
mimi ninacho cha G TV, KAMA HIVYO VITU UNAVYOHITAJI VIPO UMO NI PM FASTA NIVUTE MPUNGA HUO.
 
Hivi vya G tv bado vipo?? Kauze kama screpa..

Mkuu mbona unaharibu biashara za watu? yeye hataki kutumia kwa ajili ya TV bali anahitaji material zilizopo humo, ndio maana nikamuuliza je cha G TV kinamfaa? ok na wewe unaesema nikauze screpa ni vizuri ungesema hizo screpa ni wapi wananunua?
 
Cha GTV hakifai..na nafahamu bei mimi nataka used sababu nikisha nunua hakitakuwa kizima tena so .... ngoja tusubiri aliyenacho na amekichoka na hakitumii tena. thanks all
 
Cha GTV hakifai..na nafahamu bei mimi nataka used sababu nikisha nunua hakitakuwa kizima tena so .... ngoja tusubiri aliyenacho na amekichoka na hakitumii tena. thanks all

Huu sasa uganga wa kienyeji kama siyo ufisadi, uchukue kifaa kwenye nzima kisha uweke kwenye mbovu!!! Au unataka cha kutumia kwa bei hiyo ya 35? Kweli inawezekana kesho ikawa mwisho wa dunia kama mambo yenyewe ndo haya!
 
me ninacho kwa bei hiyo poa, ila sijakilipia . kama itakufaa ni PM ili nijue nikupataje.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom