Nahitaji iPhone,Nitaipata wapi?

Timor

Member
Feb 4, 2009
48
32
Wadau nisaidieni nahitaji iPhone 3D yenye 16Gb popote inapatikana naomba mnijulishe,Hata wale walio majuu tafadhali nisaidieni jinsi ya kuigazia.Nimeangalia kwenye mtandao (Internet) huko China zipo kuanzia $200 hadi $2000.Sasa mimi uwezo wangu ni dola $300 kwa ujumla.Hapa Bongo madukani sijaziona kabisa,
 
Timor,

You can get this in dar (Upanga) at KAJ STORE, Fire/Mazengo streets. Just use this email address: kaj.movies@gmail.com or call 0754090355/0754928924.
 
Last edited:
iPhone zipo nyingi tu za kumwaga nenda kariakoo roundabout au mlimani city kuna duka
Moja opposite na shoprite wanazo. Ila bei yake kwa hapa bongo ni kati ya sh 900,000 hadi 1300,000. Kazi kwako.
 
Back
Top Bottom