Nahitaji gari isizidi ml4

Tayo

Member
Feb 22, 2012
11
0
Nahitaji gari ya kununua kwa bei niliyotaja hapo juuuu
nipe detail zake na bei bt iwe kwenye hari nzuri plz.
 
Kwa soko lilivyo na kodi ilivyopanda, kwa bei hiyo utaambulia KIMEO.
Gari ya hali nzuri huwezi pata kwa 4m, labda ya mnada.
 
Kwa soko lilivyo na kodi ilivyopanda, kwa bei hiyo utaambulia KIMEO.
Gari ya hali nzuri huwezi pata kwa 4m, labda ya mnada.
speaking of which, hivi ile minada ya bandarini imeishiaga wapi? maana natafuta ka-vitz ka kuzungukia hapa darisalame kwa dili za mbuzi.
 
Mimi ninayo GAIA nilichukua kwa matumizi yangu,lakini kutokana na hali tete ya maisha nataka kuiuza.
Ila bei siyo 4m.kwa sababu ni mpya siyo kutoka kiwandani bali kutoka Japani,nikimaanisha hapa TZ bado haijaanza kula mzigo.
 
Nahitaji gari ya kununua kwa bei niliyotaja hapo juuuu
nipe detail zake na bei bt iwe kwenye hari nzuri plz.

Gari mil 4? Unataka kununua umasikini kwa hela zako mwenyewe! Kama unajiamini ni heri ununue Toyo mpya.
 
Gari mil 4? Unataka kununua umasikini kwa hela zako mwenyewe! Kama unajiamini ni heri ununue Toyo mpya.

kha ibra! mbona mie nimeelekezwa mahali kuna mercedes E class, imekufa nozzle na water pump kwa 2 mil? repair cost inaenda 800000..unanishauri nini hapo?
 
Pouwa kaka ngoja nijichange
Hilo la kujazia cha juu ndio suala la msingi, lakini sio kuja hapa kutaka gari la milioni 4, utanunua matatizo. Itakuwa gari ya mafundi mekanika. Hata Corolla mbovu huwezi pata kwa bei hiyo.

kha ibra! mbona mie nimeelekezwa mahali kuna mercedes E class, imekufa nozzle na water pump kwa 2 mil? repair cost inaenda 800000..unanishauri nini hapo?

Kwelea,
Ushauri wa ubwete!
Kabla hujanunua hilo gari, liangalie kwanza hali yake, kisha nenda DT Dobie (CFAO Motors) pale Vingunguti, uliza bei ya hivyo vipuri kabla hujauziwa, coz unaweza kukuta bei ya vipuri ni ghali kuliko bei ya gari. Sikukatishi tamaa, ila kwa huko Uswazi benzi ina heshima kuliko saloon nyingine mtaani, kwa hiyo hata bei za vipuri vyake ni za juu.
 
Hilo la kujazia cha juu ndio suala la msingi, lakini sio kuja hapa kutaka gari la milioni 4, utanunua matatizo. Itakuwa gari ya mafundi mekanika. Hata Corolla mbovu huwezi pata kwa bei hiyo.

Kwelea,
Ushauri wa ubwete!
Kabla hujanunua hilo gari, liangalie kwanza hali yake, kisha nenda DT Dobie (CFAO Motors) pale Vingunguti, uliza bei ya hivyo vipuri kabla hujauziwa, coz unaweza kukuta bei ya vipuri ni ghali kuliko bei ya gari. Sikukatishi tamaa, ila kwa huko Uswazi benzi ina heshima kuliko saloon nyingine mtaani, kwa hiyo hata bei za vipuri vyake ni za juu.

yeah idimi,

nitaenda kuliangalia..aliyenielekeza ni smart sana wa magari anadai ni very neat...

wanadai imepimwa kwa komputer ikasoma nozzle na water pump mbovu...ndio cotation ikaja 800,000 lakhi

mwenyewe alisema ikikosa mteja anafikiria kuweka mfumo wa toyota ili aendelee kuenjoy dashboard na chassis....

nimesoma soma hapa jf kuwa benz unaweza kaa nayo sana.... i am tired of japanese saloons ..they dont give me ile kitu nataka.... nimeown karibu sita na kuyauza...they are indifferent.... nataka kitu na kumaliza thirst yangu sasa

nataka kujaribu benz.ndio maana nawaconsult wakuu...labda nikipata contact za shops za spare, nikafanya utafiti....
 
....mwenyewe alisema ikikosa mteja anafikiria kuweka mfumo wa toyota ili aendelee kuenjoy dashboard na chassis.....

Oh Yes, hapo kwenye bold!
Wengi huwa wanafanya hivyo, anabaki na bodi na system ndogo ndogo za benz lakini mashine anawe ya Toyota ama Nissan. Jamaa yangu yeye kaona engine ya Mitsubishi Lancer inamsumbua, kaweka ya Corolla na maisha yanaendelea kawaida tu. Kila la kheri
 
9062305-very-old-car-wreck-rusty-and-scrapped-in-front-of-old-house.jpg

Kwa hiyo hela, lets bargain this one
 
" Hivi anayewauzia wasanii magari anaitwa nani? Maana wanatumia mda mwingi gereji kuliko barabarani"--Fid Q.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom