Nahitaji free proxy server software ya windows

Freelancer

JF-Expert Member
Sep 22, 2008
2,965
2,141
hey guys. Which site can i find a free proxy software for windows. Nimeona kuna source ya squid lakini inahitaji niwe na visual c++ compiler ili niifanyie compilation. Zipi zingine ni za free apart from squid.
 
Freelancer,

Nadhani Freeproxy 4.0 itakusaidia. Pata maelezo zaidi / download hapa.

FreeProxy 4.00 Build 1709 (Windows), from Hand-Crafted Software - Free Downloads on ZDNet | Shareware, Trialware, Evaluation Software

Nimeshawahi kutumia privoxy kwenye mazingira ya nyumbani - ambapo nina computer chache. Sijui wewe mwenzangu unataka ku-deploy kwenye environment gani (office , educational institution au nyumbani pia).

Pata maelezo zaidi / download hapa

Privoxy - Home Page

Natumaini hizo links zitakusaidia
 
Ni kwenye internet cafe. Asante kwa link ngoja niicheki
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom