Nahitaji dawa ya kutoa vinyweleo mwilini!

Status
Not open for further replies.
Katafute hii brand inayoitwa Veet.

kuna hair removal cream ( hii unapaka tu kama mafuta subiri dadika tano, oga, osha na nywele zote zina dondoka inakuja na kama ka brash cha plastic unakwaruza tu mahali ulipopaka cream)

Easy wax(huwa natumia miguuni, mapajani mapaka bikini line) na nywele hazioti kwa muda mrefu baada ya kutumia.
ni rahisi sana maelezo yote yanakuja na pakaji.

Na recomend hii brand sababu nimetumia kwa miaka mingi bila madhara yeyote.
na niliongea na Dr wangu kuhusu hii brand akasema hata yeye anatumia.

laser ni ghali na kama unangozi nyeusi inaweza kukuachia mabaka meupe, ukawa kama vile umeungua
na maji moto.

kama una harusi tumia hivyo viwili hapo juu ni bei rahisi na unafanya mwenyewe tu nyumbani.
hakikisha nywele ni fupi, nyoa kwanza na mkasi kama ni sehemu za siri.

Mmmh shosti hizo hair removal cream nnavyoziogopa huna la kuniambia kama nnavyoogopa kupakaa chochote usoni mwangu zaidi ya mafuta ya nazi au sijui ni ushamba lol...

Ila kidogo umenipa moyo kuhusu veet ntatumia kuondoa vinyoleo vya miguuni na mikononi maana vinaota haraka sana....
 
Unaweza kufanya halawa-wax ya kawaida tu ila inauma sana hususan kama una nywele nyingi
 
Mmmh shosti hizo hair removal cream nnavyoziogopa huna la kuniambia kama nnavyoogopa kupakaa chochote usoni mwangu zaidi ya mafuta ya nazi au sijui ni ushamba lol...

Ila kidogo umenipa moyo kuhusu veet ntatumia kuondoa vinyoleo vya miguuni na mikononi maana vinaota haraka sana....

sio ushamba kabisa kutumia mafuta ya nazi.
mi nimetumia kwa muda mpaka mpenzi wangu alivyoniambia amechoka na
harafu ya nazi kitandani mmmmhh hawa wanaume.
Ikabidi ni badili sasa hivi natumia Royal Nectar imetenngenezwa na asali.

Anyway hizo hair remove sio za USONI KABASA. ni sehemu nyingine za mwili
lakini si uso.
 
Hayo mafuta ya nazi huna la kuniambia nywele zangu napakaa hayo tu au olive oil sema extra virgin kdg yana harufu siipendi....
 
Acheni Uvivu Tumieni Wembe Kila Siku Mnaambiwa Madhara Ya Creams Nyie Bado Mnatumia Nawaonea Huruma Ndugu Zangu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom