Nahitaji dawa ya kutoa vinyweleo mwilini!

Status
Not open for further replies.

Bones

Member
Apr 1, 2011
17
0
Habari za hapa wanaJF!

Hivi kuna madhara yoyote ktk mwili iwapo utaamua kunyoa vinyweleo kwa kutumia wembe au hair remover?

Pia kuna gene yoyote ambayo inahusika katika urithi wa vinyweleo kuwa vingi katika mwili?

Aina gani ya hair remover ambayo ipo safely na mwili wa binadamu?

Natanguliza shukrani zangu kwenu wanaJF.
 
mkuu,hair remover almost zote sio nzuri! Bora wembe mkuu! Kuna njia nyingine ambayo its more natural ya asali! Cjui kama utaprefer hiyo mkuu! Ni kwamba unapaka,lets say miguuni,then unachukua kitambaa kisafi unaweka juu ya eneo husika unaacha kama dkk 15alafu unabandua tartiiib,kaka results utaziona! Nywele haioti yani..! Bytheway, hiyo ni genetics!
 
mkuu,hair remover almost zote sio nzuri! Bora wembe mkuu! Kuna njia nyingine ambayo its more natural ya asali! Cjui kama utaprefer hiyo mkuu! Ni kwamba unapaka,lets say miguuni,then unachukua kitambaa kisafi unaweka juu ya eneo husika unaacha kama dkk 15alafu unabandua tartiiib,kaka results utaziona! Nywele haioti yani..! Bytheway, hiyo ni genetics!

unapaka nini?
 
Kama amekwambia ukiwa na vinyweleo atakupiga chini si umwache! Au hawajakufundisha kazi yake nini?
 
Nitumie dawa gani inisaidie wajameni.

Hello guy's, kwa kifupi mimi ni girl na ninavinyweleo vingi sana mwilini hasa mikononi na kwenye miguu na vinanikera sanaaaa, naskia kuna dawa ya kuviondoa visiote milele but im not sure.

Nipo serious guy's kwa anayejua dawa ya kuviondoa visiote milele naomba anijuze. Natanguliza shukrani.

Na humu ndani nimepewa jina la mwana JF mmoja anaitwa Mzizimkavu nmeambiwa anazo dawa za miti shamba naomba aje hapa jamvini anijuze kuhusu upatikanaji wa hizo dawa nakama zinaondoa visiote milele pamoja naa bei, au kwa anayejua dawa nyingine anijuze.
 
I like such people, nakumbuka siku moja Kwenye basi nikitoka mkoa nilimwona mdada mwenye vinyweleo vingi mkononi nikavizia nione pahala wakati akinawa mikono nikagundua ana vinyweleo hadi kifuani , nikajipanga kumkabili hadi nimmiliki Bahati mbaya nikaona ana pete mkononi, ah kuna Mtu keshamwahi.. iliniuma..!
 
Dawa ni kushave kwa gillete.......

Kwa mashine


Waxing


Kuna zile cream za kuondoa vinyweleo (nimeisahau jina)

Vikikuudhi sana kafanye LAser
 
iyo LASER ndionafanyajwe? naweza patawap? nani sh ngap?nisaidie mkuu maana nikelo kwangu,kibaya zaidi naharusi ijumaa so natakiwa niwesafi.
 
Katafute hii brand inayoitwa Veet.

kuna hair removal cream ( hii unapaka tu kama mafuta subiri dadika tano, oga, osha na nywele zote zina dondoka inakuja na kama ka brash cha plastic unakwaruza tu mahali ulipopaka cream)

Easy wax(huwa natumia miguuni, mapajani mapaka bikini line) na nywele hazioti kwa muda mrefu baada ya kutumia.
ni rahisi sana maelezo yote yanakuja na pakaji.

Na recomend hii brand sababu nimetumia kwa miaka mingi bila madhara yeyote.
na niliongea na Dr wangu kuhusu hii brand akasema hata yeye anatumia.

laser ni ghali na kama unangozi nyeusi inaweza kukuachia mabaka meupe, ukawa kama vile umeungua
na maji moto.

kama una harusi tumia hivyo viwili hapo juu ni bei rahisi na unafanya mwenyewe tu nyumbani.
hakikisha nywele ni fupi, nyoa kwanza na mkasi kama ni sehemu za siri.
 
asante wng,bt umesema ipi kati yaizi:easy wax,hair removal,vett au iyocream?nisaidie jinakamili.bt iyo vett nilinunua ikanishinda au nilikosea matumizi,nisaidie plz.
 
asante wng,bt umesema ipi kati yaizi:easy wax,hair removal,vett au iyocream?nisaidie jinakamili.bt iyo vett nilinunua ikanishinda au nilikosea matumizi,nisaidie plz.

mimi ninayotumia inaitwa (Veet@ In shower Hair Removal)
Unapaka kama dakika tano hivi test na ukucha tu kwaruza kidogo
kama nywele bado hazijalainika acha tena dakika tano zaidi.
zikisha lainika ingia bafuni na hako kabrash kanochokuja na hayo hair remover.
sugua taratibu tu na maji uvugu vugu na nyewe zote zitadondoka.

Waxing hutumii maji.
ninayotumia inaitwa Veet Easywax electrical roll on refill.
Kwenye kibox kinakuja na kila kitu ndani. angalia hiyo video ina maelezo zaidi.

Veet® Easywax™ Electrical Roll-On Refill - Sensitive - Legs & Arms
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom