Nahitaji dawa ya kurefusha uume

mbwa mzee

Senior Member
Jan 13, 2015
126
9
Wadau kwa mwenye wazo anaweza kunisaidia.

Nahitaji dawa ya kurefusha Uume kwa anayejua dawa anisaidie jina lake ili tuokoe jahazi.
 
Wadau kwa mwenye wazo anaweza kunisaidia.

Nahitaji dawa ya kurefusha Uume kwa anayejua dawa anisaidie jina lake ili tuokoe jahazi.

fanya mazoezi sana sana ya miguu kimbia ,chuchumaa na kuinuka ,kula ndizi mbivu ,kula matikiti maji mwisho jiamini na hicho hicho utaweza mlizisha mwanamke kuliko kutaka mb kubwa
 
Mtafute wa size yako tu bro, ambaye nchi 3-4 ataona zinamtosha, hila kama unakimbilia magumegume ndio maana unaona unaogelea......hila wait waje wajuzi wa mambo nadhani watakua na ushauri zaidi
 
Wadau kwa mwenye wazo anaweza kunisaidia.

Nahitaji dawa ya kurefusha Uume kwa anayejua dawa anisaidie jina lake ili tuokoe jahazi.

Ili iwe ndefu kwa ajili ya nini? Kwanini usijikubali, kama ni kupendwa utapata atakayekupenda kiukweli hivohivo ulivo. Kama kuna mwanamke uko naye anakutuma ufanye hivo, achana naye kwani huyo hakupendi.
 
Kanywe mkojo wa beberu La mbuzi bakuli tatu kwa wiki changanya na juice ya majani ya mpera itakuwa inchi sita

duh! nilijua dawa ya minyoo kamba maana wanakuaga wakubwa kama chatu ss kuwauwa kwake kwa dawa kama hii ni kiboko
 
Back
Top Bottom