Nahitaji Computer Brand New.

Mrimi

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
1,691
633
Nahitaji HP Pavilion dv7 6089eo.
Ina specifications zifuatazo:
HDD: 500GB
RAM: 4GB
Processor: Quadri Core...
Size: 17.3" HD screen.
Pia ina fingerprint reader.

Alternativelly, Toshiba yenye specifications kama hizo au karibu na hizo.

Mwenye uhakika wa kuwa nayo aniPM, tufanye biashara.
 
unatafuta destop kampyuta or laptop kampyuta?
 
unatafuta destop kampyuta or laptop kampyuta?
sasa wewe unatajiwa hadi model yake kuwa ni HP Pavilion dv7 6089eo then bado unauliza kama ni desktop au laptop!!!!
Hiyo laptop kaka...lakini specifications zake matata aisee
c02995772.png
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom