Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
- Thread starter
- #21
Ili kutunza usafi unahitaji kuwa na CHUPI MBILI - unafua moja kila asuhubi unapooga then unavaa nyingine amboyo uliifua jana yake. Chupi nyingi ni gharama zisizo na msingi likewise Soksi. :smile-big::smile-big:
Safarini nakushauri tumia feni kukaushia chupi yako kama kuna mawingu ili siku inayofuata usihangaike. Jifunze kubana matumizi yasiyo ya lazima.
kaka kwa kweli umenifurahisha sana ila ulichoongea ni 90% ni sahihi kwa mtazamo wangu
Mhhh ungekuwa wewe owner au Mod wa jamii forum basi. nadhani maoni mengi ya watu yasingepewa uhuru. Sio vizuri kupenda kupdress mawazo ya watu. Acha Thread ife naturally.3D said:Tufunge mjadala. Vaa chupi safi. Use commonsense, chupi moja yaweza kutosha au mbili au tatu. VAA CHUPI SAFI. MWISHO.