Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,437
Wanajamvi nina mjadala/ swali. Though wengine wanaweza kuona ni private but binafsi naona sio vibaya tukishare mawazo
Nawasilisha.
- Je hygienicallly mwanaume/ mwanamke anahitaji kuwa na minimun ya chupi ngapi anazovaa kwa wiki?
- Je ukiwa unakwenda safari ya mwezi mmoja unatakiwa kupack chupi ngapi ?
- Je chupi inatakiwa kuwa disposed muda gani au baada ya rotation ngapi za kutumika.?
Nawasilisha.