Nahitaji chumba cha kupanga moshi mjini

Jeff

JF-Expert Member
Sep 26, 2009
1,293
199
Wadau,msaada tafadhali,natafuta chumba cha kupanga maeneo ya karibu na chuo cha ushirika,au st marigoret au Rau secondary,kuwe na usalama maana sio mtu wa kuwepo nyumbani mpaka jioni,tuwasiliane 0753-114524 au nipm.jf daima milele!
 
nenda pale KCMC Hosiptali sehemu ya TATCOT kuna mzee mmoja anaitwa mtui ana nyumba nzuri ipo karibu na barabara na nilikuwa nakaa kwake sema tu nimehamia mkoa mwingine
 
nenda pale KCMC Hosiptali sehemu ya TATCOT kuna mzee mmoja anaitwa mtui ana nyumba nzuri ipo karibu na barabara na nilikuwa nakaa kwake sema tu nimehamia mkoa mwingine

Mdau asante kwa taarifa, hiyo nyumba ipo karibu na maeneo hayo niliyotaja? au ipo kule kcmc?
 
Back
Top Bottom