Uzuri wa huko hata kwa alfu mbili unaweza kupata Chumba, Sebule, Jiko, Choo, Bafu kwa mwezi!!buguruni aaaanh!?...utapasuka mzee hata kama nyumba ina mlinzi na bunduki,.. Mtaani je!? (pigwa kabali nzitoo)...sogeasogea hata mitaa ya ilala(kuanzia bungoni)
Huenda anataka kuwa karibu na soko kuu la pale Kimboka au Sewa bana,hata ningepewa apartment buure huko Buguruni sikaibuguruni aaaanh!?...utapasuka mzee hata kama nyumba ina mlinzi na bunduki,.. Mtaani je!? (pigwa kabali nzitoo)...sogeasogea hata mitaa ya ilala(kuanzia bungoni)