Nahitaji baiskeli, ni wapi zinapatikana hapa DSM?

BATULUNGE

JF-Expert Member
Nov 2, 2013
383
624
Mabibi na mabwana kama heading inavyoeleza, kwa yeyote anayejua baiskeli za bei nafuu hata kama ni used zinapouzwa asisite kunijulisha.

Unaweza kunijulisha kwa namba hii 0656077998, zawadi nono itatolewa.

Changamkia fursa hii.
 
Nenda pale yard ya rufingira karibu na mlimani city, zipo kibao, muulizie werrason Mushi
 
Acha kutusanifu r arifu jukwaa linazungumzia magari na sio baiskeli
 
Sasa hujasema baisikeli za aina gani. Kuna zile za KISUKUMA,ama za MASHINDANO, hebu fafanua vizuli ueleweke
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom