Nahitaji automatic incubator yenye uwezo wa mayai 96

Don Ovan

New Member
Aug 13, 2015
2
0
Wana-JF naomba msaada, nahitaji sana automatic incubator yenye uwezo wa mayai 96, pia kama kuna muuzaji tutazungumza.
 
bro kama hujapata hiyo incubator jaribu kuwasiliana kwa namba 0719223366.
Anapatikana dsm kimara kwa msuguli.
 
Mimi ninazo incubators nauza, piga 0713602262
Mkuu humu jukwaani biashara inabidi ujiongeze,kama wewe ni muuzaji wa hizo mashine weka details zakutosha humu mf:
-Size na Bei zake
-ufanisi
-Auto au manual
Hii inaweza kukupa wateja zaidi kuliko kutuma namba uakaishia hapo,sio njia nzur kuvutia wateja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom