Nahitaj msaada mpenzi wangu mvivu saana

Piga chini, hajui kazalisha lakn anatumia! uyo wachumi wanaita. consuption
=income-saving, kwa style iyo atakuja ku2mia waste product!
 
Mpolee
Let me start by asking you , vipi watu sorrounding him kama marafiki na wanafamilia? Je wao tabia zao ni similar? If so jaribu kumuweka karibu na wapenda maendeleo instead and see. You can never imagine the extent to which the company one keeps influences them. I know mimi personally sio a go getter but what keeps me going is modelling my life against my friends who are further in life than I. Najiulizaga "Hivi inakuwaje huyu mtu nimekaa nae darasa moja , two desks apart and he/she has achieved this, that and so on?". What am I doing wrong? In an attempt to answer these quens, ndio unakuta Im doing this and that kutafuta hiyo progress
 
Jaribu kumshirikisha kila unalotaka kufanya kwa namna ya kumuomba ushauri ili kumpa nafasi ya kuifikirisha akili yake.
 
Nilivyoona mvivu nilijua kwenye mambo yetu yale , kumbe hivyo tu haina shida msaidie kufikiria kama mwenzako mvivu
 
Mpolee
Let me start by asking you , vipi watu sorrounding him kama marafiki na wanafamilia? Je wao tabia zao ni similar? If so jaribu kumuweka karibu na wapenda maendeleo instead and see. You can never imagine the extent to which the company one keeps influences them. I know mimi personally sio a go getter but what keeps me going is modelling my life against my friends who are further in life than I. Najiulizaga "Hivi inakuwaje huyu mtu nimekaa nae darasa moja , two desks apart and he/she has achieved this, that and so on?". What am I doing wrong? In an attempt to answer these quens, ndio unakuta Im doing this and that kutafuta hiyo progress
Maneno hayo.
 
mara nyingi ukiona binti anaanza kuleta issue za kutoana kasoro ujue kishaona jamaa hana mpango/kishapata a seemingly better dude na anatafuta justification ya kumpiga jamaa chini... just a hunch!
 
unapaswa kumuuliza yeye ni shughuri gani anaweza kuifanya kwa ukamilifu kulingana na mazingira yenu kisha msaidie kuiboresha Usipende sana kumlazimisha afanye kazi unazoweza na kuzipenda wewe tu

AMEN
 
Ndio tatizo la vibrazamen hapo hauna jinsi hana kazi atakayoiweza zaidi ya kunyoa, na ukiamua kumfungulia Saluni ndio utakoma atakuwa bize na vibinti mpaka chakula chako cha usiku atakuwa hali.

Piga chini tafuta mtu mwenye upeo na mawazo ya maendeleo, sio mtu ambae kila akiamka anawaza leo twende kiwanja gani kutumia.
 
Hilo ndo balaa la mabinti wengi wa kisasa si kama enzi zetu,
kaanaye chini mueleze yote msioneane aibu hayo ndo maisha then uumpe muda wakutosha ukiona habadiliki uchague moja , kumchukulia udhaifu wake au tafuta mwenye asilimia kubwa ya vigezo vyako
 
mmeenda kuisaka wapi hii tene?
Mna GX zenu au mmeazima?
Bwahahahhhh.
We Kongosho ww, umenikumbusha mbali sana na mambo ya GX Mia. Unajua huyu anaelalamikiwa kwa uvivu ndo ambaye yuko mbioni kumwagwa, huenda ndo sbb akatafutwa mwenye GX mia ya 'Kuazima' aliyesemwa vibaya sana juzi. Sikutaka kucheka lkn imenibidi. Mie nimeazima Vitz ya jirani
 
Hakuna tabia mbaya, na ngumu kubadilisha kama UVIVU! U cant imagine muda huu napoandika hii post ni saa nane na nusu mchana, eti mi nipo kitandani!
 
mpenzi wangu nampenda saana na tumedumu miaka miwili. Kasoro yake ni moja tu, mvivu sana wa kufikiria wala kujishughulisha kimaisha wala hana kabisa kufikiria mbele. Nimfanyeje abadilike kabla sijajishikisha ndoa?

achana nae!!
 
Mpolee,

Huyo jamaa ana elimu gani? Je umemzidi ellimu kwa kiasi gani? Na umri umemzidi miaka mingapi?

Na tunaweza kupata umri wake ili tujue tuanzie wapi coz naona huyu sharo anachezea bahati hapo nataka nimsaidie
 
Back
Top Bottom