Nahitaj msaada mpenzi wangu mvivu saana

mpoleeee

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
310
130
Mpenzi wangu nampenda saana na tumedumu miaka miwili. Kasoro yake ni moja tu, mvivu sana wa kufikiria wala kujishughulisha kimaisha wala hana kabisa kufikiria mbele. Nimfanyeje abadilike kabla sijajishikisha ndoa?
 
Ulishawahi kumweleza opportunities unazozifikiria za kujiletea maendeleo? Kama bado ni bora umshauri nini cha kufanya halafu ukiona bado zezeta ndo uje uombe ushauri humu ndani, vinginevyo huna sababu ya kumuita mvivu/zezeta. Lakini isije ukawa unamlinganisha na wanaume wako wa awali, kwani wanaume tuko wa aina tofauti na kamwe hatuwezi kufanana ktk uchakarikaji wa maisha na kutafuta mihela.
 
Mpenzi wangu nampenda saana na tumedumu miaka miwili. Kasoro yake ni moja tu, mvivu sana wa kufikiria wala kujishughulisha kimaisha wala hana kabisa kufikiria mbele. Nimfanyeje abadilike kabla sijajishikisha ndoa?

Huyo mpenzi wako anafanya kazi gani, unaweza kukuta shutma zote hizo ni kwa sababu hana kazi!!!!!
 
@ndyoko nimekua nae miaka miwili nimejarib kila namna biasharo ndio hawez kabs yy ni kaz za kusmamiwa na kutumwa tu.
 
@lusambo kaz anafanya ila karidhka mno hafikirii hatua gan inafuata na ni spenda mbaya mshahara wenyew wa kubabaisha
 
Labda hata kazi anayofanya ni ngumu,
anarudi amechoka,
anarudi mishale ya jioni sana,
ongeza na matusi ya mwajiri + masimango.
 
Inabidi ukae nae uongee nae na kumuelimisha juu ya mambo ya maendeleo. Ila kama una nia nae nzuri waweza kumshauri/kumsaidia mtaji wa biashara na hata jinsi ya kuiendesha.
Wengine ndivyo walivyoumbwa ila baada ya muda anaweza kubadilika na kujitahidi mwenyewe kufanya hayo mambo mwenyewe.
 
Nilihisi tatizo lipo kwenye kipato tu, bila ya shaka huyo mpenzi wako kipato chake hakitoshelezi na ndiyo maana umeamua kusuppliment na biashara ili angalau kipato kiongezeke.
Ushauri wangu ni huu;

1.0 Jitahidi kuweka malengo kwa pamoja na muamue kuyafikia. Kutokana na udhaifu wa ufuatiliaji basi simamia wewe na uone kama hamtafikia
2.0 Punguza kumdis huyo mpenzi wako, ndiye uliamua kuwa nae ili mradi hakusaliti.
 
kaz yake kawaida sio ngum ni nyuma ya dawat wanaobeba ndwika waseme nn?
 
Inabidi ukae nae uongee nae na kumuelimisha juu ya mambo ya maendeleo. Ila kama una nia nae nzuri waweza kumshauri/kumsaidia mtaji wa biashara na hata jinsi ya kuiendesha.
Wengine ndivyo walivyoumbwa ila baada ya muda anaweza kubadilika na kujitahidi mwenyewe kufanya hayo mambo mwenyewe.

nimeongea nae c chin ya x5 haelewi!
 
Safi sana hata mm ninamtu wa namna hyo ila nilikujakugundua kuwa umri wake na malez ndo yanasababisha haya kutokea. Nilichokifanya nilianza kukuweka karibu sana na mm ili kupunguza ukaribu wake na ndugu na jamaa zake anaowategemea na ndipo nilipokuja kujua kuwa tatzo halikuwa umri japo muda mwngne huwa linachangia. Lingne ni yeye kuwa anawategemea sana ndugu na jamaa zake kurahisisha mambo katka kufikiri hvyo jalibu kuwa nae karbu utajua kwanini anakuwa hvyo
 
Nilihisi tatizo lipo kwenye kipato tu, bila ya shaka huyo mpenzi wako kipato chake hakitoshelezi na ndiyo maana umeamua kusuppliment na biashara ili angalau kipato kiongezeke.
Ushauri wangu ni huu;

1.0 Jitahidi kuweka malengo kwa pamoja na muamue kuyafikia. Kutokana na udhaifu wa ufuatiliaji basi simamia wewe na uone kama hamtafikia
2.0 Punguza kumdis huyo mpenzi wako, ndiye uliamua kuwa nae ili mradi hakusaliti.

kipato chake angekua na malengo kinatosha kabsa kuamka kimaisha tatizo anaendekeza san matumiz na matanuz. Hakos maden kila cku
 
Mpenzi wangu nampenda saana na tumedumu miaka miwili. Kasoro yake ni moja tu, mvivu sana wa kufikiria wala kujishughulisha kimaisha wala hana kabisa kufikiria mbele. Nimfanyeje abadilike kabla sijajishikisha ndoa?

Mimi nayemuona ni mvivu wa kufikiri hapo ni wewe. Binadamu wako wa aina nyingi, hiyo ni aina VIVU. Sasa kwa kuwa umeshamjua hulka na tabia zake, ulichotakiwa kufanya ni kujiondoa kwake taratubu. Nakwambia hivyo kwa kuwa najua akili zenu wanawake, kwa kuwa sasa una mawili utafikia uamuzi wa kuolewa naye kwa haiba ya kitanda halafu baadae ukutane na mchapa kazi kwenye mihangaiko yako uanze kusaliti ndoa.

JIVUE GAMBA
 
Mpolee kuwa mvumilivu, labda unatumia jazba kuongea naye ndo maana hakuelewi?
 
Mpenzi wangu nampenda saana na tumedumu miaka miwili. Kasoro yake ni moja tu, mvivu sana wa kufikiria wala kujishughulisha kimaisha wala hana kabisa kufikiria mbele. Nimfanyeje abadilike kabla sijajishikisha ndoa?

...ziba wewe hilo 'pengo' wakati ukimshukuru Mungu kwa kasoro yake hiyo moja..
"alalaye usimwamshe....!"
 
kasoro yake moja ila yankosti. Naogopa badala ya yy kushika nafas ya majkum ndan itakua mm ndo wa kujal zaid iktokea tukafunga pngu za maisha.
 
kipato chake angekua na malengo kinatosha kabsa kuamka kimaisha tatizo anaendekeza san matumiz na matanuz. Hakos maden kila cku

Je ukimuomba hela anakubali kukupa???? Kama anakubali fanya hivi!!

Anza wewe kufanya hayo maendeleo kwa kuficha hela kidogo kidogo kisha baadaye ununue kiwanja, ujenge nyumba, nunua fenicha baada ya muda atakuja kuzinduka ya kuwa alikuwa anachezea hela kwa matanuzi wakati hana vitu muhimu. Ila lazima viwe vyenu wote kwani yy ametafuta na wewe umewekeza kwenye nyumba. Hapo utakuwa umemsaidia sana!
 
Umesema kasoro yake moja NI MVIVU,Lakini nimegundua ana kasoro zaidi ya moja kwa maana ya matumizi mabovu na kupenda matanuzi.Hata hivyo mambo yote yako ndani ya uwezo wako kuyarekebisha.Najua ni ngumu kwa wewe kufikiri badala yake lakini wewe unaweza ukajipa nafasi ya U KINARA kwenye mambo ya msingi.Ukilifanya hilo kwa akili sana<bila kuharibu amani kati yenu>taratibu utaona anaanza kukubali wewe kum direct katika mstari unaotaka wewe.
 
Back
Top Bottom