Nahisi:::::::::::

Hongera kwa kuongeza thredi na kuhakikisha kuwa kila siku hutoki bila kuanzisha uzi mpya.
 
Nakushauri usimpe tena dawa za kichina, maana usipoangalia siku nyingine utakuja na thread zenye heading za mfano huu "Nahisi na 'Mananihii' pia jamani...! Nisaidieniiii...
 
heshima ni kitu cha bure ,..kama huna cha kuchangia potezea thread
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom