...nahisi nina tabia za kike!

Biashara ni matangazo na siyo mpaka muuzaji aje mlangoni kwako, anaweza kukutangazia hata dirishani....

Dirisha lisiwe lakioo hutamsikia tangazo lake,coz mtu walu walu huambiwi utamwona matendo yake..
 
Wala huna tabia za kike wanaume wote kwa wapenzi wao wanadeka na kutaka kufanyiwa kila kitu kama watoto.

Niwekee maji ya kuogabafuni, hata kwenye nyumba zenye mabafu na maji huko huko bado janaume linataka mkewe akafungulie maji na kujaza kwenyeTub lenyewe likija lijiloweke kaa Tod.

Wanapikiwa chakula kisha kutoa comentsz a kuudhi wakati wa kula,
"hiki chakula leo tunakula chumvi umeweka kil nzima?"

" Hivi chumvi mnaagiza toka Ziwa Turkana chakula hakina chumvi kabisa?"

" Nyama haijaiva, hivi gesi imekwisha?"

Sasa janaume hili likiambiwa lijichemshie hata chai kikombe kimoja utashangaa hata kuwasha jiko la gesi halijui Hiii! Hiiii Hiii!!!

afuliwe nguo mpaka za ndani
atandikiwe kitanda

Halfu likipata homa kidogo tu " Mama Ufa piga simu kwamba huendi kazini leo sijisikii vizuri"

Wala usiwe na hofu wengi tuko hivyo.

Ukifikia kiwango cha juu kabisa cha Uelewa utaacha.

Ahsante sana kwa ushauri Mzuri.
 
Nahisi na tabia za kike katika mapenz naomba nieleweke wanajamii!!

1.Napenda sana kusifiwa kama umependeza au hakuna mwanaume mzuri kama wewe Duniani.

2.Napenda sana kufarijiwa/kujaliwa mfano kupewa pole hata kama kazi niliyo fanya ni ndogo.

3.Napenda sana kubembelezwa kila wakati kwakifupi napenda kudeka sanaaa..

4.Napenda sana kupewa za wadi hata ya pipi nitalizika.

5.Napenda sana Kukumbatiwa kila niwapo na mpenzi wangu.

Ile kitu je! inafunction!!.
 
Je unapenda ni jinsia gani ke au me akufanyie hayo mambo..? Kama ke hakuna tatizo kama mme.. kuna tatizo
 
Ntafute nkutoe bikraa

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Alafu utafaidika na nini? na nanikakuambia sahivi watu wanashindana kutoa bikraa watu wanashindana kupishana kwenye milango ya benki,mimi nipo serious.
 
Huyu jamaa ni punga,bado kusema tu una hamu ya kuzibuliwa mtaro,eti unasema'bado sheria haijapitishwa!' looh! Nahisi ulegevu wa sauti na vidole juu,mkuu nenda jukwaa la matangazo
 
Gangamala!!! .... utakuwa mkuu wa kaya kwa mila zetu watanzania wengi. Mwachie dada adeke na kupenda kusifiwa umbo lake, wewe sifiwa kwa hela ulizonazo na jinsi unavyoikimu familia au mpenzi wako. Gangamaa ndugu yangu, kama huna ubavu nunua kimondo.
 
Huyu jamaa ni punga,bado kusema tu una hamu ya kuzibuliwa mtaro,eti unasema'bado sheria haijapitishwa!' looh! Nahisi ulegevu wa sauti na vidole juu,mkuu nenda jukwaa la matangazo

wewe ni wapili kusemaneno"punga"punga tree,punga tails..,au sija waelewa..
 
Subiri kuolewa basi.

Bado Sheria haija pitishwa..
Khaaa! Kwahiyo sheria ikipitishwa??

attachment.php
 
Ivi Hujawah kutamani Kutoambwa ??? Ndugu yangu vumilia tu sheria yenu itapitishwa then utakuwa huru kutoa iyo kitu.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom