...nahisi nina tabia za kike!

nataka kubadilika nipe njia za kubadilika..

1. Kama umeshagundua tatizo lako hiyo ni hatua kubwa ya kwanza

2. Hatua kubwa ya pili umekiri huipendi hiyo tabia yako

La msingi sasa usijali unaponyimwa zawadi,chukulia kwamba wewe hustahili hivyo vitu na kwamba umepita umri wa kusifiwa na wewe ni mtu mzima............Au kwa namna nyingine ona unayoyafanya kama yaliopitwa na wakati, wewe sasa ndiye unatakiwa kumsifia mwenzi wako...mambo ya kumzawadia mtu ni pale utakapojisikia na isiwe mara kwa mara.

Kwa wazee wa zamani ukionekana una tabia hizi unatandikwa bakora na kuambiwa acha tabia za kike....sasa kwa sababu ninyi mmesoma baby care (unavishwa daipa) halafu Academy (uji wa maziwa) na kuishia boarding ada milioni 2....nakwambia hivi........acha ujinga kua
 
As long as na wewe uko tayari kumfanyia hay mwenzi wako, it's ok. Ila taratibu tu usage ukaanza kudeka kwa wanaume wenzio, hapo itakuwa namnaganivipi flani hivi
King'asti hiyo kwenye red ndio nini ati?! mjini nimeingia juzi
 
Last edited by a moderator:
Nahisi na tabia za kike katika mapenz naomba nieleweke wanajamii!!

1.Napenda sana kusifiwa kama umependeza au hakuna mwanaume mzuri kama wewe Duniani.

2.Napenda sana kufarijiwa/kujaliwa mfano kupewa pole hata kama kazi niliyo fanya ni ndogo.

3.Napenda sana kubembelezwa kila wakati kwakifupi napenda kudeka sanaaa..

4.Napenda sana kupewa za wadi hata ya pipi nitalizika.

5.Napenda sana Kukumbatiwa kila niwapo na mpenzi wangu.

Haya mambo ukiongea Pemba au malindi utawekwa ndani Mtoto wa kiume
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom