Nahisi nilimegewa

Brasil ulifanya jema kutaka kumpeleka mtoto akamuone baba yake ........................ila hapo bora na wewe ungechukua likizo, mkaenda na mama mka enjoy pahala kwanza siku mbili tatu kisha mnamsindikiza mtoto kwa baba yake mnarudi nyumbani kwa amani

lakini ndio yamepita .......ganga yajayo.
 
Nimesema kwa sababu zilizokuwa juu ya uwezo wake hakuweza kufunga safari kwenda kumwona mtoto wake. Na siyo kwamba alikuwa hatoi mchango wa kifedha kwa mwanae. Alikuwa anatoa tena bila hata ya kushurutishwa na mahakama. Hakumkataa mtoto wake. Ni kwamba wao wawili tu uhusiano wao haukufanikiwa. Na mwisho wa siku kwa mama yoyote kumnyima baba watoto wake kuwaona wanae si vizuri. Humkomoi yeye zaidi ya kuwanyima watoto fursa ya kumjua baba yao. And each case should be looked at on a case by case basis. You can't apply a one size fits all approach in each and every situation. My situation was very tricky and complicated to say the least. That's why in the end I just to let her go because it wasn't going to work with the way things were.

Hapo sielewi hata sijui umeongea nini. Huyo mwanamke wangu alikuwa na kiranga? You mean she smashed my hommie Kiranga? What the...???

Na sina shaka hata kidogo kuwa walifanya. Kama nilivyosema, nilizaliwa saa mbili usiku lakini haikuwa jana usiku.

weeee weeeee usinilishe maneno mwenzio herufi nlotumia hapo ni ndogo nikimanisha ni 'kivumishi' (adjective) na si jina (noun)
so u r homie has nothing to do wit my post
 
Brasil ulifanya jema kutaka kumpeleka mtoto akamuone baba yake ........................ila hapo bora na wewe ungechukua likizo, mkaenda na mama mka enjoy pahala kwanza siku mbili tatu kisha mnamsindikiza mtoto kwa baba yake mnarudi nyumbani kwa amani

lakini ndio yamepita .......ganga yajayo.

You know, I have a soft spot for children and it would have been mean for me to deny the child to see her father.

Na sio kwamba huyo jamaa alimkataa mwanae. Alikuwa anamhudumia kifedha mwanae bila hata kuombwa. Alikuwa anatimiza wajibu wake kama inavyopaswa.

Uamuzi niliochukua ulikuwa wa busara na siujutii hata kidogo. Amani yangu ina thamani zaidi kuliko mwanamke mwenye sura nzuri na umbo zuri. A peace of mind is one of those things that you can't put numbers to.
 
weeee weeeee usinilishe maneno mwenzio herufi nlotumia hapo ni ndogo nikimanisha ni 'kivumishi' (adjective) na si jina (noun)
so u r homie has nothing to do wit my post

Hujalishwa maneno na ndio maana nikauliza/ nikaomba utoe ufafanuzi. Sasa hayo maneno ulolishwa yako wapi? Mbona uko defensive hivyo?
 
Huyu Kiranga ndo wapa wapa au mwingine?

Asante Komredi...maana yeye kaandika kitu ambacho kinaweza kuleta utata na mfarakano bila kuweka disclaimer halafu anang'aka eti kalishwa maneno. Angalau na wewe umeouona utata huo.
 
Hujalishwa maneno na ndio maana nikauliza/ nikaomba utoe ufafanuzi. Sasa hayo maneno ulolishwa yako wapi? Mbona uko defensive hivyo?

haya bana nimekuelewesha basi yaishe sasa........
 
pole .............but we learn from experience....

acha nisindikize ujumbe wangu kwa wimbo (lol)

ving'aravyo vyote, vyote si dhahabu
vyenginevyo shaba, navyo hughilibu

shaba kutu maumbile........
 
haya bana nimekuelewesha basi yaishe sasa........

Kuwa mwangalifu na uchaguzi na matumizi wa maneno yako. Kumbuka ku-qualify kauli au maneno yanayoweza kuleta kutokuelewana. Tuna mjumbe mwenzetu humu anaitwa Kiranga. Wewe kutumia au kutotumia herufi kubwa kwenye hilo neno haina maana yoyote kwani hata jina lako hapa umetumia herufi ndogo, "bht". Kwa hiyo usitake kuanzisha ligi ya kombe la mbuzi hapa maana kutakuwa na mshindi mmoja tu!!!!
 
...bro, hakuna tofauti kama alitembea nae au la. Huyo ni baba mtoto wake. Hakuna kizuizi cha kuwazuia kukumbushiana.
Maamuzi uliyafanya miaka miwili iliyopita, simamia maamuzi yako upate faraja akilini.
 
ofkoz mshindi atakuwa mmoja,

hiyo sentensi ukiisoma vizuri lazima itamaanisha si Kiranga wa Jf ila basi tu wakati mwingine watu mnataka kulumbuna kwenye vitu vidogo na visivyo na msingi........

tufanye yameisha basi
 
...bro, hakuna tofauti kama alitembea nae au la. Huyo ni baba mtoto wake. Hakuna kizuizi cha kuwazuia kukumbushiana.
Maamuzi uliyafanya miaka miwili iliyopita, simamia maamuzi yako upate faraja akilini.

Mmmmh ni ngumu sana hasa kama shetani kishaingilia kati
 
huyo mwanamke wako alikuwa na kiranga tu na huo ex wako na nadiriki kuhitimisha kuwa 'walifanya'!!!!

hiyo sentensi ukiisoma vizuri lazima itamaanisha si Kiranga wa Jf ila basi tu wakati mwingine watu mnataka kulumbuna kwenye vitu vidogo na visivyo na msingi........

tufanye yameisha basi

Hahahahaaa..no dear, your statement is open to interpretation. Read it again and see where I'm coming from. I'm not just trying to start a pointless argument here.
 
Black leather Hatuaminikiiiiii.................wahenga wanasema hawala anataraka!!!siku yoyote wawezakumrudia inategemea mazingira mliyokutana!!!Lakini hilo la canadaaaa!!!!Mhnn...kwale...kibandani kajileta mwenyewe.......!!!kuliwa sisemi nilazima ila nizaidi yalazima..........Ndugu Brasil funika kamoyo kako nakitu kigumu usahau yaliyotokea ukitaka kujua.....zaidi yaukweli ulioambiwa....shauri yako!!!!
 
Mara nyingi wakikutana watu walioachana wakiwa wapenzi hata kama watakuwa wameoa au kuolewa kwingine uwezekano wakukumbushia ya zamani ni mkubwa sana. Sasa hawa walikuwa wapenzi na wana mtoto na kwa maelezo yako binti ni mrembo wewe unategemea nini wakikutana tena mbali sana na wewe na wakae nyumba moja tena kwa wiki mbili????????JIBU NI KWAMBA WALIMEGANA TENA KWA SANA TU
 
Hahahahaaa..no dear, your statement is open to interpretation. Read it again and see where I'm coming from. I'm not just trying to start a pointless argument here.

nimekuelewa!!! asante kwa ushauri on the choice of words!!
 
Hahahahaaa..no dear, your statement is open to interpretation. Read it again and see where I'm coming from. I'm not just trying to start a pointless argument here.

Ungeweza kabisa ku-qualify na kusema (no relation to JF Kiranga) in parentheses
 
Back
Top Bottom