Nahisi nakaribia kucheat na x wangu.....!

dah huyu x atanifanya nicheat wakat mm ctak...mpnz wang yupo mbeya huu mwez wa3,na kuonana majariwa mana tulikua chuo k1 ye ndo amemaliza ths year...
huyu x yupo wote dsm na tunasoma wote chuo yy hajamaliza...tatzo ameshajua npo lonly bac mwee hzo calz x3 ka dozi ...sms ucseme c watsup c email,c bbm wala miibo ...na kama unavyojua mpnz kwa sasa anastruggle kutafuta maisha kwan ndo amemaliza chuo na hana ishu xo mda wote yupo kuangaika kutafuta xo calZ zimepungua na sms za uhaba na hv yupo mbal mweee...yan nahc kuteleza mwenzen
uwiiiiiii

Ukitaka kumwelewa mleta sredi jiweke kwenye kundi la masharobaro halafu soma
 
"hawara hana talaka na Ex hatongozwi " hao watu wawili ukiamua kuwaacha usiangalie nyuma ni rahisi sana kucheat nao,nakushauri usimkaribishe nyumbai kwako ukiwa peke yako manake most likely hautasalimika!
 
hapo hujaongea cha maana
communication ni two way traffic na sio one way
usipojibu itakuwaje.
nafikiri unapenda na unakubaliana nae ndio maana anaendelea
Nakupa BIG UP
 
Husia wangu kwenu enyi vijanaa, msiweke macho juu kama mambaaaa..............................
 
dah huyu x atanifanya nicheat wakat mm ctak...mpnz wang yupo mbeya huu mwez wa3,na kuonana majariwa mana tulikua chuo k1 ye ndo amemaliza ths year...
huyu x yupo wote dsm na tunasoma wote chuo yy hajamaliza...tatzo ameshajua npo lonly bac mwee hzo calz x3 ka dozi ...sms ucseme c watsup c email,c bbm wala miibo ...na kama unavyojua mpnz kwa sasa anastruggle kutafuta maisha kwan ndo amemaliza chuo na hana ishu xo mda wote yupo kuangaika kutafuta xo calZ zimepungua na sms za uhaba na hv yupo mbal mweee...yan nahc kuteleza mwenzen
uwiiiiiii

Ficha upumbavu wako! LOL. Na magonjwa yote haya bado unashoboka na simu, message za mara 1000 kwa siku? You are kidding. Una maamuzi yako tayari. Keep up! l
 
Yani mi nazunguka na bahasha za kaki kwenye maofisi, na wewe uko bize kumfikiria X. Ngoja mambo yangu yatiki ntarudi. Whatch out

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Sema tu ulikuwa bado unamzimia x wako zingine zote ni mbwembwe
 
Back
Top Bottom