Nahisi naibiwa....................!

Njoo nikupe dawa ya kisukuma ila utachagua mwenyewe 1- akishachuma azunge na tembele zake hapo bustanini bila kuiona njia ya kurudi kwake mpaka utapomkuta. 2- Akisha kula tumbo limvimbe kama mwenye mapacha wa3
 
hiyo dawa kiboko, tangaza biashara
 
Mtambuzi cha jirani babu mtambuzi sio kibaya kushare, akiomba nyungo mpatie, na vinginevyo! by the way ndio tu umegundua? pole!
 
Last edited by a moderator:
af matembele matamu sana ukiyachambua vizuri haki ya tenaaa unaibiwa nenda polisi ukapewe Rb wewe
 
Back
Top Bottom