Nahisi mpenzi wangu ana bwana mwingine

hakuna kitu kizuri kwa mtu kama kujiamin,kwa nn uwaze negative tu mara ana mtu mara nn, we kma unampenda kula mzigo vaa loughlader!
 
Lol time hii ukimruhus tena acheze na moyo wako ndo atakumaliza anyway kulia juu ya malovee ni kawaida but iwe mara moja ikijirudia wewe mwenyewe jichunguze - Big no alikuona wanini wewe muone wakaz gan af ndo mtaendana - Tia akil usikubal kuwa chaguo la pil kwa mtu 27yrs unanafas kubwa ya kutulia upate anejijua na anejua anataka nini hasa
 
mkamue matundu ake yote mawil afu muache..mwambie mtemane kabsa..ili mgawane maumiv..afu akikuuliza kwa nn umenfanyia ivo..mwambie anaeza futa tu namba zako
 
cpend sana kuckia mwanaume dhaifu kama ww mwanaume hatetereki ye mwnyw anakuona mjinga na akikutnda tena utalia Mara 2 yake
 
mimi ni kijana wa miaka 27, nimehitimu chuo na sasa nafanya kazi serikalini. nina mchumba ambaye naye baada ya kumaliza kidato cha 4 aksoma kozi za computa nae kwa sasa ana kazi. huyu binti nilianza nae uhusiano akiwa form 3 wakati huo nikiwa mwaka wa kwanza chuo. tulipenda sana mwanzo wa mapenzi yetu na kipindi hicho tulikutana dodoma. baada ya kumaliza kidato chake cha 4 alikuja dar kwa dada yake. sasa tatizo ndipo lilipoanzia. nikimwambia tuonane atakubali lakini hawezi kutimiza ahadi mpaka na kibaya zaidi hakupi taarifa yoyote. nimejitahidi kulalamika sana kuhusiana na tabia hiyo na atasema atajirekebisha lakini atarudia tena. kama siku akija kwangu atakua yupo kwenye siku zake na hapo maana yake huwezi kusex nae. hiyo kitu inaniuma sana na ukizingatia sina demu mwingine na pia naogopa sana ukimwi nami ni mwaminifu sana kwa mpenzi wangu. nilitamani niwe na demu mwingine lakini naogopa ukimwi. sasa ilifika mahali ikabidi nimwambie kuanzia leo mimi na wewe na siku nilipokua namwandikia sms hii nilikua nalia machozi mpka nikajona mimi ni ***** sasa kinachoniliza mwanaume mzima ni nini? toka siku hiyo ndio nikajua mapenzi yana nguvu, hadi namwaga chozi. alinijibu mbona hayo ya kawaida tu. na akadai nifute namba zake naye atafuta zangu, nilifanya hivyo.

sasa nikaanza kumsahau na nikawa busy sana na kazi, sasa cha ajabu baada ya miezi 2 kupita akapiga simu na kudai kuwa ananisalimu, nikasema ahsante kwa kunikumbuka, akapiga tena siku ya pili na nikwamwmbia nipo dom, akasema umekwenda kwetu kuwasalimu, nikamuuliza nitaanzia wapi?

akafululiza wiki nzima anpiga simu, sasa anataka kurudi kwangu kwa nguvu zote, nami nampenda. ila nilihisi lazima atakua na mwanaume mwingine, sasa sijui imekuwaje huko sasa anarudi kwangu. na sasa hivi nimesafiri moro naye nikamwambia aje w/end na amekubali kuja.

sasa ndugu zangu nifanyaje je ananipenda kweli huyu na je hatanisumbua tena, maana naumia sana kwa mapenzi ila nampenda.

Dogo sikiliza muache mule tigo halafu hachana naye tafuta mwingine kinacho kuuma ni kwamba amekuacha yeye lakini ukimla tigo ukamfukuza hasubuhi utakuwa umeshinda
 
Dear.. pole.. Binafsi if I was you .. Trust me I wouldn't go back to her at all. Sipendi watu wanaochezea mioyo ya watu . Kwani kumpenda ni kosa mpaka autese moyo wako , aaagghhrrrr.. My brother I care for you and I don't want you to get hurt again.. Huyo Bi Dada ameshajua weakness yako so she is using it to get you.. Dear you feel still love her but the truth is you are not . You are just scare to move on with your life. Utakuwa mtumwa Wa Penzi lake hadi lini? Wake up she treat you like a toy because she knows exactly where and what to do to get you. Dear hiyo si Love.. The really Love never hurt but it makes you smile either in bad times or good times.. Stop wasting your time.. Huyo si wako tena .. As the you said unaogopa Ukimwi then this is the time to stand up trust yourself and have that confidence that to say you are ready for the next new chapter that God will open for you with more blessings, miracles and a wonderful wife that God has chosen for you.. Huyo bi dada for now she will do anything you want because she wants something from you ( uende kwao, kwa maana ameona hana mwingine Wa kumpeleka, aliyekuwa akimpa Jeuri ya kukujuibu wewe vibaya amepata chake now hamtaki tena. So now akakumbuka matapishi aliyoyatapika.). And trust me this time akikuumiza tena itakuwa mbaya zaidi kuliko ile ya mwanzoni. Je una uhakika gani kama yuko disease free now ? After muda wote mlioachana . My brother have confidence and be like man, because you are a man .. Thanks..
 
Kwa taratibu za mila na desturi zetu, kama kweli umimchumbia, hukupaswa kufanya naye tendo la ndoa mpaka mtakapooana rasmi. Kama wote hamkulijua hili katika kipindi cha mahusiano yenu, basi kuanza upya na mwanamke mwingine sio dhambi.
 
Khaa!! Kwanza wewe dogo ungekuwa jela sasa hivi. Huwezi ukatembea na kabint ka form three halafu jamii iwe inakuangalia tu. Umemuharibia bint future yake. Unadhani kama usingemchanganya wewe sasa hivi angekuwa wapi kimasomo? Bahati yako hii ni ya 2009 bila hivyo tungekutafuta liwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama yako
 
Wanawake bana .....

Wanafanana woote ....

Huyo alikuwa anataka tu kukusumbua kijana ...

Lakini tatizo kubwa wewe una moyo wa plastiki na inaonekana bado hujawajua hawa binadamu ....

Sijui hata nikuambie nini ila subiria wakati ukifika utajua tu .....
 
Khaa!! Kwanza wewe dogo ungekuwa jela sasa hivi. Huwezi ukatembea na kabint ka form three halafu jamii iwe inakuangalia tu. Umemuharibia bint future yake. Unadhani kama usingemchanganya wewe sasa hivi angekuwa wapi kimasomo? Bahati yako hii ni ya 2009 bila hivyo tungekutafuta liwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama yako

Huyu jamaa kwanini mnamkosea heshima kumwita dogo wakati he is 33 now.!!
 
Unaupungufu wa akili kichwani..... Unajua kwanini hapo mwanzo Mungu alimpatia mwanamke jina la "Hawa"? Hawa hawafai...... Hawa hawaelewi...... Etc chukua hatua
 
mimi ni kijana wa miaka 27, nimehitimu chuo na sasa nafanya kazi serikalini. nina mchumba ambaye naye baada ya kumaliza kidato cha 4 aksoma kozi za computa nae kwa sasa ana kazi. huyu binti nilianza nae uhusiano akiwa form 3 wakati huo nikiwa mwaka wa kwanza chuo. tulipenda sana mwanzo wa mapenzi yetu na kipindi hicho tulikutana dodoma. baada ya kumaliza kidato chake cha 4 alikuja dar kwa dada yake. sasa tatizo ndipo lilipoanzia. nikimwambia tuonane atakubali lakini hawezi kutimiza ahadi mpaka na kibaya zaidi hakupi taarifa yoyote. nimejitahidi kulalamika sana kuhusiana na tabia hiyo na atasema atajirekebisha lakini atarudia tena. kama siku akija kwangu atakua yupo kwenye siku zake na hapo maana yake huwezi kusex nae. hiyo kitu inaniuma sana na ukizingatia sina demu mwingine na pia naogopa sana ukimwi nami ni mwaminifu sana kwa mpenzi wangu. nilitamani niwe na demu mwingine lakini naogopa ukimwi. sasa ilifika mahali ikabidi nimwambie kuanzia leo mimi na wewe na siku nilipokua namwandikia sms hii nilikua nalia machozi mpka nikajona mimi ni ***** sasa kinachoniliza mwanaume mzima ni nini? toka siku hiyo ndio nikajua mapenzi yana nguvu, hadi namwaga chozi. alinijibu mbona hayo ya kawaida tu. na akadai nifute namba zake naye atafuta zangu, nilifanya hivyo.

sasa nikaanza kumsahau na nikawa busy sana na kazi, sasa cha ajabu baada ya miezi 2 kupita akapiga simu na kudai kuwa ananisalimu, nikasema ahsante kwa kunikumbuka, akapiga tena siku ya pili na nikwamwmbia nipo dom, akasema umekwenda kwetu kuwasalimu, nikamuuliza nitaanzia wapi?

akafululiza wiki nzima anpiga simu, sasa anataka kurudi kwangu kwa nguvu zote, nami nampenda. ila nilihisi lazima atakua na mwanaume mwingine, sasa sijui imekuwaje huko sasa anarudi kwangu. na sasa hivi nimesafiri moro naye nikamwambia aje w/end na amekubali kuja.

sasa ndugu zangu nifanyaje je ananipenda kweli huyu na je hatanisumbua tena, maana naumia sana kwa mapenzi ila nampenda.

Yani mwezi mtukufu ninyi 'mnatohombana' tu hamumuogopi ALLAH?
mlaaniwe mpaka kiyama nyamafu nyie!!!
 
Back
Top Bottom