Nahisi mpenzi wangu ana bwana mwingine

Kiongozi upo sawa kweli? kwa sababu unachanganyachanganya mambo sana. Sikiliza wewe mvulana wewe unaonekana bado hujakuwa. 1.M2 mwenyewe unaemlilia hakuthamini na pili sioni haja ya wewe kuendelea kumnyenyekea wakati alishakusababishia kilio. Nakushauri kwa herufi kubwa ACHANA NAE, HUYO AMESHACHACHA NA SASA HIV ANAJIFANYA KUJIRUDISHA.
Tuwe tunasoma na tarehe ilivyoandikwa. Huyu kaandika miaka 6 iliyopita, sasa ni wakati wa mrejesho
 
sijui nikupe tusi kidogo.... yaan mshapanga muonane tena..!!!!
hiyo ya mwanzo siyo janga sasa ajali mbaya inakujia na utakuja humu tena kuomba ushauri boya we...
 
Yaan watu wa hivi wanakera mbaya! Unaomba ushaur gan, au unaona raha kuandika uzi mpya,
Akhhhhj
 
Chamsingi.. Sameheaneni Kabisa.. Halafu Angalia Moyoni mwako na ujihakikishie kwa dhati ni kweli unpenda? Au unamtamani? Kwasababu kupenda na kutamani ni ngumu sana kutofautisha.. Ukishajihakikisha na kujiridhisha kua kweli unampenda. Ni kucheki Afya zenu? Pia jiulize uko tayari kumchukua kulingana na Majibu yyte mtakayopata Hospital? If Yes.. Chukua hatua za kulipa Mahari Msikaribiane wala kugusana (sex) mpk Muoane.. Kwasababu kwakusex hyo ni dhambi kubwa na mnatafuta laana kwenye Mausiano Yenu. Oaneni Kwanza ndio mfanye tendo la ndoa
 
Kwa uzoefu wangu inaonesha alikua na mtu wakat ule anakuzingua na haswaa ndie aliekua anampa kiburi... Kwa namna yeyote atakua either ameachana nae au jamaa haelewek so anakuona ww option... Mkubalie ila ujue when she had another better option (ambapo ww sie) she gona let u burn in hell,, tumia akili kufukiri sio moyo
 
kumrudia yeye haina tofauti na kusex wale ulowaogopa usipate ukimwi. Tafakari chukua hatua.
 
kaka ogopa. huyo anacheza na akili yako. some women are very wicked. kuna mtu wa karibu yangu naye alikumbwa na scenario kama yako. kumbe demu alikua changu.
unajua kipindi kile anakudengulia, alikua na mtu mwingine.kwa hiyo ulivyomwambia basi akaona poa tu. kama angekua ana penzi la kweli angekubembeleza sana. sasa huko alipokwenda inaelekea moto umemwakia, kwa hiyo anajidai kujirudisha kiaina. achana naye wala usimpe tena nafasi.

Akikubali uwezakano wa kupata mwanaume mwingine na kumuacha tena ni mkubwa.
 
Huyo alienda akapandiwa mwisho akatemwa sasa hana pakwenda amebaki kukurudia wewe akutumie..usihofu nenda kapimwe naye ukimwi kisha umuoneshe kama mapenzi ya dhati ila safari hii uichape hiyo ngoma kisawasawa,yani chape ilale mara kadhaa atabaki kukuheshimu
 
mimi ni kijana wa miaka 27, nimehitimu chuo na sasa nafanya kazi serikalini. nina mchumba ambaye naye baada ya kumaliza kidato cha 4 aksoma kozi za computa nae kwa sasa ana kazi. huyu binti nilianza nae uhusiano akiwa form 3 wakati huo nikiwa mwaka wa kwanza chuo. tulipenda sana mwanzo wa mapenzi yetu na kipindi hicho tulikutana dodoma. baada ya kumaliza kidato chake cha 4 alikuja dar kwa dada yake. sasa tatizo ndipo lilipoanzia. nikimwambia tuonane atakubali lakini hawezi kutimiza ahadi mpaka na kibaya zaidi hakupi taarifa yoyote. nimejitahidi kulalamika sana kuhusiana na tabia hiyo na atasema atajirekebisha lakini atarudia tena. kama siku akija kwangu atakua yupo kwenye siku zake na hapo maana yake huwezi kusex nae. hiyo kitu inaniuma sana na ukizingatia sina demu mwingine na pia naogopa sana ukimwi nami ni mwaminifu sana kwa mpenzi wangu. nilitamani niwe na demu mwingine lakini naogopa ukimwi. sasa ilifika mahali ikabidi nimwambie kuanzia leo mimi na wewe na siku nilipokua namwandikia sms hii nilikua nalia machozi mpka nikajona mimi ni ***** sasa kinachoniliza mwanaume mzima ni nini? toka siku hiyo ndio nikajua mapenzi yana nguvu, hadi namwaga chozi. alinijibu mbona hayo ya kawaida tu. na akadai nifute namba zake naye atafuta zangu, nilifanya hivyo.

sasa nikaanza kumsahau na nikawa busy sana na kazi, sasa cha ajabu baada ya miezi 2 kupita akapiga simu na kudai kuwa ananisalimu, nikasema ahsante kwa kunikumbuka, akapiga tena siku ya pili na nikwamwmbia nipo dom, akasema umekwenda kwetu kuwasalimu, nikamuuliza nitaanzia wapi?

akafululiza wiki nzima anpiga simu, sasa anataka kurudi kwangu kwa nguvu zote, nami nampenda. ila nilihisi lazima atakua na mwanaume mwingine, sasa sijui imekuwaje huko sasa anarudi kwangu. na sasa hivi nimesafiri moro naye nikamwambia aje w/end na amekubali kuja.

sasa ndugu zangu nifanyaje je ananipenda kweli huyu na je hatanisumbua tena, maana naumia sana kwa mapenzi ila nampenda.

Acha umbugila mkuu unachezewa akili.
 
ivi ww unahisi au mpenzi wako anabwana mwengine? nakama nikuhisi tu kwanini usihisi hana bwana?
 
Huyo anakupenda sanaa usimwache tena huyo anachanjo yanukimwi ukimuacha tuu utakoma na ukimwi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom