Nahisi kupenda ila sijampata wa kumpenda bado nifanyeje...

Carmel nimependa Avatar yako.

Mimi pia nimeipenda na wale njembas waliokuwa wanamsumbua kwa kupiga maspeed kila kukicha bila hata ya kumpa nafasi ya kupumua....:) kutokana na avatar yake aliyoindoa labda sasa watapunguza speed zao...LOL!
 
Wahenga wanasema mficha uchi hazai...
Nimejisikia mno upweke soo "nahisi kupenda ila sijampata wa kumpenda bado" nifanyeje?? I'm a girl with 28yrs.
Ukinipa ushauri wa busara nitashukuru sana...
Asanteni...

...ushauri wangu wa bure;

"unapokuwa na fedha mfukoni huendi kununua chochote almuradi tu una pesa mfukoni!".
Jiwekee akiba mpaka pale utapomuona, kumpenda na kukubaliana na "aliye" na thamani kwako na atayekuja kukufaa maishani.
 
Wahenga wanasema mficha uchi hazai...
Nimejisikia mno upweke soo "nahisi kupenda ila sijampata wa kumpenda bado" nifanyeje?? I'm a girl with 28yrs.
Ukinipa ushauri wa busara nitashukuru sana...
Asanteni...

Dont tell me kwamba bado uko sealed!!!
 
Hello Jfs!!

Natumai muu wasima... ushauri wenu ulinisaidia weekend iliyopita ambapo ilikuwa sikukuu ya Maulidi nilijitahidi kutoka out kidogo thanks kwani nilikutana na akina....Masanilo/Fidel01/Pj /Bujibuji na wengineo kwa kweli imenipa mategemeo fulani...thanks
 
mmmmmh!!!! wa mashaka wewe....
 
Unaongelea upendo wa namna gani? Kama ni romantic love you can live without it or you can wait mpaka ufunge ndoa utampata tu hata kama una sura kama nyamayao. But kama unaongelea plutonic love basi hujui ulitafutalo manake nadhani kama uliishi vizuri na wazazi unapaswa kumpenda your mom kuliko hata mungu. Anyways Mungu ni mkuu atakuongoza!
 
Wahenga wanasema mficha uchi hazai...
Nimejisikia mno upweke soo "nahisi kupenda ila sijampata wa kumpenda bado" nifanyeje?? I'm a girl with 28yrs.
Ukinipa ushauri wa busara nitashukuru sana...
Asanteni...

ukiniona utanipenda. Do that
 
Usiwe na wasiwasi mambo haya upangwa na mungu na wala siya kulazimisha. Ila kuwa makini usije kupenda mme wa mtu.

Jitahidi pia ku socialize na watu, nenda make new friends from there unaweza kupata starting point.
 
Tuliza boli binti, kidume cha mbegu ndo mie. Cheki sura ya biashara na nilivyo handsome, haujaridhika tu? karibia basi..
 
Tete-a-tete = n. (pl. same or tête-à-têtes pronunc. same) a private conversation between two people. Sasa dada yangu mpendwa jina lako limekusaidia nini iwapo 28yrs bado unaning'inia (hang)? Au nawe ulikuwa unafaidi maisha kwa kuwa huru kujirusha na kila aina ya dhakari. Sasa baada ya kuzijaribu ndefu, fupi,nene, nyembamba, zilizopindia kulia na zilizopindia kushoto na zile zilizopindia juu au chini au zilizonyooka. Aidha zenye kovi na zilizolamba jando. Tete nimeipenda hiyo ila kwa sababu u mzoefi ktk uharibifu basi tumia ujuzi wako kummpata utakayempenda na awe fundi ili usirudie ktk njia zako mbaya. Have a good search m'a dear lady
 
jamani wewe Binti sasa kama hutoki nani atakuona
jaribu kwenda kanisani ..unaweza kutana nae ..sokoni .. jaribu kutoka na kina Fidel80,Nguli< Xpin oops married eeh ...Akili Kichwani hapao utapata rafiki ambaye hatimaye huwezi jua mungu kapanga nini
gud lucky
pamoja na mimi.
 
Wahenga wanasema mficha uchi hazai...
Nimejisikia mno upweke soo "nahisi kupenda ila sijampata wa kumpenda bado" nifanyeje?? I'm a girl with 28yrs.
Ukinipa ushauri wa busara nitashukuru sana...
Asanteni...
Ulificha ulifikiri unamkomoa nani, sasa umepata ulichokuwa unasubili ficha zaidi
 
ivi alimpata wa kumpenda?
aje basi atoe ushuhuda wa kilichojiri
napenda sana shuhuda
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom