Nahisi kugive up.

WIERD

Member
Jun 7, 2011
15
1
Nina best yangu nampenda sana tumekuwa marafiki kwa mda mrefu san kiasi kwamba tumekuwa kama ndugu,tatizo ni kwamba sikuhiz kabadilika sana yani ananifanyia visa vya maksudi,anamajibu mabaya na dharau.kiukwel mambo haya yamepelekea tugombane sana,nimechoshwa na hali hii nikamwambia kilamtu awe na mambo yake ili tuwe na aman hataki kunielewa anadai hawezikubali urafiki wetu ufe,akaomba samahani na kusema atajirekebisha,japo kasema atajirekebisha ila hafanyi hivyo na anazidi.alichobakiza ni kusema tu samahan na hawez kuwa mbali na mimi.kwakweli moyo naona umechoka na nahisi hatutakiwi kuwa pamoja tena japo yeye hataki.hebu nishaurini wana jf nifanyeje coz sioni hata raha ya kuwa na bestfriend.ntashukuru kwa ushaur wenu.
 
urafiki tu wa kawaida!!!!! No siamini labda kunadeal ingine kati yenu
 
Zamani ndo nilikuwa nabeba mazagazaga..........kama haeshimu urafiki wenu unajipa presha za nini?
 
Sijakuelewa hata kidogo. Friendship ya kawaida ikusumbue nini? Mnakwaruzana kwa mambo gani? why? Mazingira gani yanawaeweka pamoja? Kwa nini ni vigumu kila mtu akafanya mambo yake? Hapo kuna kitu!!!!!!!!!!!!!
 
hebu jaribu kumuweka chini huyo rafiki yako na umuulize tatizo lake ni nini hasa hadi apate huo wazimu...anawezakuwa na matatizo ya kifamilia au kazini yanayomzonga.
 
Urafiki upo na watu hupendana sn bt km unaona ni tatizo then songa mbele kakuchoka huyo.
 
Nina best yangu nampenda sana tumekuwa marafiki kwa mda mrefu san kiasi kwamba tumekuwa kama ndugu,tatizo ni kwamba sikuhiz kabadilika sana yani ananifanyia visa vya maksudi,anamajibu mabaya na dharau.kiukwel mambo haya yamepelekea tugombane sana,nimechoshwa na hali hii nikamwambia kilamtu awe na mambo yake ili tuwe na aman hataki kunielewa anadai hawezikubali urafiki wetu ufe,akaomba samahani na kusema atajirekebisha,japo kasema atajirekebisha ila hafanyi hivyo na anazidi.alichobakiza ni kusema tu samahan na hawez kuwa mbali na mimi.kwakweli moyo naona umechoka na nahisi hatutakiwi kuwa pamoja tena japo yeye hataki.hebu nishaurini wana jf nifanyeje coz sioni hata raha ya kuwa na bestfriend.ntashukuru kwa ushaur wenu.

Nadhani msaada utakuwa mzuri zaidi ukiainisha baadhi ya hivyo visa
 
Wierd...Kumbuka formula ya maisha sio kupoteza marafiki ila ni kuongeza marafiki...Usimpoteze huyo rafiki..ila tengeneza mipaka.. badili mwelekeo muonyeshe kwa vitendo ya kuwa hauko tayari kumpoteza ila unataka akuheshimu na haeshimu mipaka yako na vile unavyotaka..inabidi uwe serious..lakini sio kusema nawe unanuna.hiyo .imepitwa na wakati... Kama yeye ataona mabadiliko yako hatoyaweza ..basi ataanza kimya bila ugomvi na huku akikuwacha wewe unatabasamu..
 
Zamani ndo nilikuwa nabeba mazagazaga..........kama haeshimu urafiki wenu unajipa presha za nini?

DA! HAPO KWENYE BOLD mmm!!,
Hivi huyo anapewa usumbufu? au ni yeye mwenyewe anajipa usumbufu,
kwasababu yeye ameruhusu kusumbuliwa na huyo best friend wake,
THAMANI YA SAMAHANI NI KULIREKEBISHA LILE ULILOLIOMBEA SAMAHANI,
LAKIN KAMA LINAJIRUDIA BASI HIYO SAMAHANI HAINA MAANA TENA.

HAKIKISHA UNAKAKAMAZA SHINGO PINDI UNAPOAMUA JAMBO,LAKIN
UNAPOMLEGEZEA SHINGO NDIPO ANAPOPATA NAFASI YA KUKUFANYIA HAYO ANAYOKUFANYIA.
POLE SANA LAKIN.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom