G M S
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 502
- 53
Wakuu kuna fundi nimempelekea laptop yangu window ilikuwa inataka niuptudate nikachelewa ikawa black kwahyo alikuwa anaweka window nyingine amefanya kazi hyo kwa kama siku mbili japokuwa iko chini ya kiwango ok comp yenyew ni hp compaq presario q40 ram 2g na procesor 1.6 lakini naangalia properties ya comp. Nimekuta data kwamba INSTALLED MEMORY(RAM) 2GB PROCESOR 1.6 af pembeni kuna CHATA(ICON) YA DELL kwa mara ya kwanza nilimuuliza akanipa majib ya juu juu af kuna jina la comp kabla ilikuwa (user) saiz nakuta ac milan haya mambo yananisumbua na yananipa mzigo na hasira naomba maelezo wataaram je haya mabadiliko kawaida au ni nin?