Nahisi Dr Lucy Nkya anapwaya

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
hajibu maswali kama mtu professional
nahisi amegeuka na kuwa fake zaidi
sio kama ninavyomjua
 
Huyu mama ni bora na anajibu KIUFASAHA kuliko waziri mwenyewe, katika majibu yoote magumu aliyoyatoa waziri wa afya...alikuwa akiegemea 'ndugu yangu, natambua kero za wananchi, anione baadae, naomba tukutane baadae tufafanuliane etc', he extremely escaped from being committed to the national assembly ili baadae asije kuulizwa.
Mama ni bora kuliko waziri mwenye dhamana husika, nashauri ungebadili thread title iwe 'unahisi wazir Dr. Hajji anapwaya'.
 
Kimsingi anafukia gaps zilizomo kwa Boss wake Dkt.Hadji, Waziri amepwaya sana na hii inatokana na ugeni wake ktk siasa na pili huyu ni mtakwimu Mzamivu mhitimu wa utafiti na sayansi ya afya na ghafla kaingia siasani miezi 2 tu baada Phd yake hahahaaaaaaaaaaa na kama mzuka kaukwaa uwaziri...tuwape muda hawa jamaa I hope next FY watakuja vizuri
 
Kwi Kwiii Kweli bado Dr. Hajji hajapata confidence ukizingatia kwamba ni mgeni ktk bunge/politics pili non medic. Tumpatie mda, nakumbuka mwaka juzi wakati tuko LSHTM yeye akimalizia thesis yake!
 
Back
Top Bottom