Nahamia airtel, siitaki tena tigo.

Mimi napenda sana Tigo siwezi kuhama, ata Katavi alikuwa Voda saizi nae kahamia Tigo anapenda kweli, kama unaona hasara saizi Mchina katoa sim Line 4
 
kastama kea ya airtel ni mbovu kabisa!

Haipokelewagi! Utasikiliza nyimbo mpaka uchoke!
 
Acheni kutuchanganya. Hiyo airtel mnayoisifia ina nini cha kujivunia? Kwanza hawana msimamo mara leo Celtel, kwesho Zain kwesho kutwa Airtel yani mpaka wanachosha. Cha ajabu hata wao hawajiamini kabisa ndo maana ukijaribu kuwapigia simu utapigiwa nyimbo za matangazo mpaka asubuhi hawapokei simu kabisa. Sasa huo ubora wa huu mtandao ni upi? naomba mniambie.

nashangaaaa..... kuna haja ya tra kuja humu kwani matangazo kibaaaoo...,Bob Marley... "the beautiful one is not yet born"
 
Mimi napenda sana Tigo siwezi kuhama, ata Katavi alikuwa Voda saizi nae kahamia Tigo anapenda kweli, kama unaona hasara saizi Mchina katoa sim Line 4

cjui bila tigo gharama za kupiga cmu zingekuwaje sasa...
 
Acheni kutuchanganya. Hiyo airtel mnayoisifia ina nini cha kujivunia? Kwanza hawana msimamo mara leo Celtel, kwesho Zain kwesho kutwa Airtel yani mpaka wanachosha. Cha ajabu hata wao hawajiamini kabisa ndo maana ukijaribu kuwapigia simu utapigiwa nyimbo za matangazo mpaka asubuhi hawapokei simu kabisa. Sasa huo ubora wa huu mtandao ni upi? naomba mniambie.

halafu ukitaka ku renew line iliyopotea bora uende mitaani wanacharge 2000/=, ukienda ofisi zao hapa tanga wanacharge sh.3000/= wakati mitandao mingine ofisini wanacharge 1000/=
 
HA HA HA HA HA HA HA HA !!!haya kakajambazi umenkumbusha filam ya monalisa.
 
Karibu kwenye marcopolo achana na ivo vicombi nafasi huku nikubwa inakusubiri wewe.
 
Back
Top Bottom