Nagging Women!

mi love this
KEVO, LAZY DOG AND MCHONGOMA;

THIS IS EXACTLY WHAT MY HUBBY NZOKANHYILU IS DOING

bora mwanamke ... mwanaume mwenye kunag anakuwa kama mtoto mchanga unamfanyia kila kitu mathalan ... unamlisha na kuhakisha ameshiba, unampa maji ya kunywa, unamkogesha, unamvisha nguo safi na nepi safi .. then unamtafutia sehemu nzuri na kumlaza ili apate hewa safi ... mara anaanza kulia .. unahangaika pengine kakojoa ... unacheki nepi .. hamna kavu ... pengine sisimizi ..vua nguo holaaa .. unamhamisha vyumba vyote pengine anatishika na picha ya ukutani .. wapi .. unamuimbia wimbo mzuri ... wapi ... unamchek temperature ... iko safi ... tumbo unalibinya hashtuki ila kilio kinaongezeka ... unalitupa kule unasusa ... mara huruma inakujia unamkumbatia tena .. basi mwanangu mzuri ... lakini wapi ... Mwisho utafanya nini ... si utamzaba vibao .. uzalendo ukikushinda ... unakumbuka tena kwamba mtoto wenyewe anandevu mpaka miguuni .. unashindwa kumzaba kwa hofu yakukurudisha kikubwa zaidi .... basi unamtizama tu au unaanza kulia mwenyewe ... ndiyo mwanaume anaenag
 
Back
Top Bottom