Nafuu Yusuph Makamba kuliko Nape

ninawi

Member
Nov 14, 2011
13
4
Basi bwana wal;e wajumbe wa halmashauri kuu ya kile chama chetu cha mafiosango wamelichoka vuvuzela lao na kusema kuwa eti linaropoka na halina mpangilio, haivi jamani kwani hataki kuonana na washauri wenye akili timamu na kusaidiwa katika kutoa taarifa, basi alivyojichanganya tu wale wenye akili zao ndani ya chama wamesema aondolewe , au ni kwamba ndo chama chetu, mbona mlianza kumuondoa makamba mkasema anaaropoka sasa ina maana mmetoa afadhali mkaeka potelea mbali.

Hebu jifikirieni kwana ili tukubaliane na twende sawa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom