Nafuta Nyumba ya Kupanga

saggy

Senior Member
Nov 12, 2008
153
70
Natafuta nyumba ya Kupanga maeneo ya Kinondoni,Mwenge,Kijitonyama na Sinza.Ofa yangu ni 150,000 hadi 200,000 kwa mwezi.

Maelezo:

Vyumba viwili vya kulala,sebule,jiko na choo (sio cha ku share).Ambaye anayo nyumba tutapanga namna ya kuwasiliana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom