Nafundisha B.MATHEMATICS

Kizibo255

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
508
367
Nina uwezo mkubwa na wa hali ya juu wa kufundisha b.maths kwa o.level. Natafuta kaz ya kufundisha popote. Nimeshafundisha kwa miaka 2 na kupata mafanikio makubwa hasa NECTA 2010. A= 1. B= 13, C= 25, D= 49 F=144. Nafac ya somo ilikuwa 16/200 kimkoa 310/3362 kitaifa.
 
Nina uwezo mkubwa na wa hali ya juu wa kufundisha b.maths kwa o.level. Natafuta kaz ya kufundisha popote. Nimeshafundisha kwa miaka 2 na kupata mafanikio makubwa hasa NECTA 2010.

Jaribu kucheck na Mkandawile
 
Mimi pia nakuomba nipigie kwa namba hii uwe na 0654057730 nikupe dili. hili hata kesho nakupeleka Shule husika.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom