nafisi yangu inachoka na maisha yangu!!!!!!!!!!!!!!

....huyo jamaa anakutumia tu. Hana mapenzi na wewe. Tayari ameshakwambia ana mchumba/mkewe. Hiyo ni alama tosha move on with your life. Kukwambia uwe 2nd wife/nyumba ndogo ina maana jikubalishe uwe Door mat! Yaani wewe ni utatumika iwapo nyumba kubwa kutakuwa kuna kasoro mbili tatu, zaidi ya hivyo, utabakia unahesabu boriti usiku kucha. Ni mapenzi gani hayo ya muda maalumu? Yaani kati ka kumi jioni na nne usikju tu ndio atakuwa na muda na wewe? huhitaji kuwa na wako wa maisha? Mbaya kuliko yote, huyo jamaa hakupi pumzi wala muda wa kutafakari nini unataka maishani. Kwanini unampa nafasi akupigie kila wakati, aje kwako wakati wowote, halafu mwisho wa yote anapoondoka ndipo nawe reality ina kick in kwamba unachezewa shere? Weye sio msukule bana, hebu badilika! Watuchukia waume bure ilhali maamuzi ya kuchezewa maisha umejikubalisha mwenyewe.
asipogsikiliza ushauri huu basi tena
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
asipogsikiliza ushauri huu basi tena
Ataanza kulia tena baada ya huo ushauri pia. Inshort kwa maelezo yake nimegundua umri wake bado mdogo ndio kwanza kaingia kwenye game, hana ujasiri wa kuamua na pia hajui anataka nini, she's still waiting for miracles to change her life/situation. Aende kwa MWINGIRA AU MZEE WA UPAKO!
 
Mmmh pole dada, tumia akili na busara hapo. Fanya uamuzi wa busara. Li mme la mtu ni SUMU kwako dada, na sumu yenyewe ndo hiyo inaumiza nafsi yako, roho yako na mwili wako. Achana na jitu linachozea hisia zako. Dah natamani nikuchape bakora vile unavyolia yani. Unalilia nini? Hivi kama hajaridhika na mke wake, unadhani ataridhika na wewe? Damn tupa kule libaba hilo.
 

....huyo jamaa anakutumia tu. Hana mapenzi na wewe. Tayari ameshakwambia ana mchumba/mkewe. Hiyo ni alama tosha
move on with your life. Kukwambia uwe 2nd wife/nyumba ndogo ina maana jikubalishe uwe Door mat! Yaani wewe ni utatumika iwapo nyumba kubwa kutakuwa kuna kasoro mbili tatu, zaidi ya hivyo, utabakia unahesabu boriti usiku kucha.

Ni mapenzi gani hayo ya muda maalumu? Yaani kati ka kumi jioni na nne usikju tu ndio atakuwa na muda na wewe?
huhitaji kuwa na wako wa maisha? Mbaya kuliko yote, huyo jamaa hakupi pumzi wala muda wa kutafakari nini unataka maishani. Kwanini unampa nafasi akupigie kila wakati, aje kwako wakati wowote, halafu mwisho wa yote anapoondoka ndipo nawe reality ina kick in kwamba unachezewa shere? Weye sio msukule bana, hebu badilika!

Watuchukia waume bure ilhali maamuzi ya kuchezewa maisha umejikubalisha mwenyewe.


Mbu umenikumbusha ule mpasho wa .....We thamani yano ndala (kandambili) watumiwa kwa matumizi ya Uwani, limit yako mlangoni. Ndivyo afanyavyo huyu bwana na wale wote wanaoendekeza nyumba ndogo na MBA...... unapewa VIP heshima mkiwa nje but linapokuja swala la mkewe/mumewe wa ndoa unageuzwa ndala!
 
Mbu umenikumbusha ule mpasho wa .....We thamani yano ndala (kandambili) watumiwa kwa matumizi ya Uwani, limit yako mlangoni. Ndivyo afanyavyo huyu bwana na wale wote wanaoendekeza nyumba ndogo na MBA...... unapewa VIP heshima mkiwa nje but linapokuja swala la mkewe/mumewe wa ndoa unageuzwa ndala!

astaghafirullah, LOL... Mwj1 mswalie mtume, binti mdogo huyu bado anakua...hajui maamuzi yake.
BTW, mfumo wa malezi ya Kibongo naona kama yanakwenda arijojo...au?

Kwanini kizazi kipya wengi hawana maamuzi mazuri ya maisha yao?
What is happening here? Wengi wao wana akili za kushikiwa.
Love is not blind bana...

Ama kweli hili lageuka ni taifa la misukule,....tusiwalaumu wabunge kushindwa kutatua
matatizo ya Umeme, ilhali wengi wetu hatuna tena akili za kufanya maamuzi magumu.
Tunakosea kuanzia pale mtoto anaanza kutembea, matokeo yake kila mtu anataka shortcut ya maisha
bila kuumiza akili!

Mdada kama huyu unadhani mtoto atayemlea atakuwaje? hata watoto hutu challenge wazazi,
'nadhani' kuanzia miezi miwili anakupima uwezo wako wa kufikiri na maamuzi, ukikosea stepu hapo umekwisha!
No wonder wengine hukimbilia kuwachapa watoto, kumbe mwenyewe kakosa jibu....aaarrrghhhhhh!
 
Nakushauri kesho uwahi ANGAZA faster kwenda kucheki afya yako, nadhani unajua nini namaanisha hapo sio? Ukitoka huko kama ukiona upo fresh basi wewe usigeuke nyuma , na wala usimpe nafasi tena lakini ukiona mambo mabaya basi komaa nae tu coz ndo hivyo atakuwa mfariji wako hadi hapo........! Hivi kwa hali hii ya ukimwi kwa sasa wewe binti bado unakubali kuwa 2nd wife au nyumba ndogo ya mtu kweli? hali ukijua wazi kuwa dunia imeharibika?

It si so sad, ndio maana wanaume sometimes huwa wanasema wanawake hata akiwa Rais au waziri lakin likifika suala la mapenzi anakuwa mdhaifu saaaaaaaaaaaaaana na hata wengine hudiriki kusema wanawake akili zao ktk mapenzi ni fupi (am sorry akina dadaz kama mtakwazika ila wanaume ndio huwa wanasema hivyo) naomba mlitambue hilo.

Utakuwaje mke wa pili, au nyumba ndogo huku ukijua jamaa ana mke au umeshajua jamaa ni kicheche? hujiamini kama wewe ni mzuri au? huna uhakika kama unaweza pata bwana wa kukuoa? umejua kama una kasoro hivyo wanaume wakikudinya tu watakumwaga au? HIVI MPOJE NYINYI VIUMBE????????????????? au

au ndo mambo ya @utamuuuuuuuuuuuuuu ukikosa kidogo tu unahisi utakufaaaa au?? mnajiua nyinyi wenyewe kwa tamaa zenu za mwili na mali bila kuangalia maisha yako ya baadae! Haya AKILI MKICHWA!!
 
Embu funguka mtoto wewe, huoni huyo jamaa ni player? pia ana wanawake wengine na mke juu, embu tuliza akili yatunze machozi yako uje umlilie wa kwako peke yako sio huyo wa watu, subiria utapata wako wa ubani, atakayelia akiona unalia, atakaecheka ukicheka, achana na dege hilo
 
Kaa chini ufikirie mara mbili kabla ya kumwaga chozi lako bure tu, huyo mtu wala hakufi, tafuta wako mwenyewe, na wala usikubali kuwekwa 2nd hand kwani una ubaya gani? na ukumbuke siku zote wa mwanzo ni wa mwanzo tu,,, yaani unajitolea kabisa eti kuwa mke wa pili
 
Dada mbona husemi kitu? Au unalia? Niambie ulipo nikufate tuje tukemee hilo pepo linalosumbua akili yako. Ahii unalilia Ngono! Yani jitu linakutumia halina mapenzi na wewe, we unalilia, Mmmh Nooo something is very wrong.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
nilimdate m2 nakufall in love nae, baada yakujua kuwa nimeshikamana akadai kuwa ananipenda sana ila alishatangaza ndoa kanisan, iliniuma sana nakumwambia basi, 2liendelea kuwasiliana ila siku zilivyoenda alizidisha upendo kwangu na kuniomba nishi nae as a 2rd wife, nilishikamana nakuwa tayari kwa hilo, alinishawishi kwa kila namna na mekwakuwa nilipenda nikakubali, ilifika kipindi akadai mke mwingine kajua basi tuishi kama marafiki nikasema okey japo niliumia sana ndan ya siku nikazoea, after 2 weeks akanitafuta akadai hamna k2 chochote alitaka 2 ajue kama kweli nampenda na ameamini yupo tayari kwalolote, me mateso niliyoyapata roho ikagoma na nilikuwa nimeishafanya maamz yakishi single maishani mwangu, alijitahidi na kujitetea nikafika ha2a yakutaka kurudiana nae, suku 2kakutana ghafula nashika simu yake nikakuta sms yam2 mwingine akidai anashukru kurudisha nafasi na upendo kama zamani, nilichoka na kuumia sana sikutaka kuoji wala kumsikiliza alipokuwa anajitetea zaidi yakunyanyuka kuondoka, akukata tamaha baada ya mwezi alikili nakuomba msamaha nakudai "we learn through mistakes" mwezi wa 3 sasa ananisumbua sana nakudai ayatajirudia tena na ctokaa nijutie maamuzi yangu!!!! binafisi nampenda sana ila roho imegoma kurudi tena, napata sana wakati mgumu, akituma text za kuomba msamaha nikisoma tu text zake naishia kulia!!!!!!!! siku alipiga simu nikadai nipo nyumbani naumwa, baada ya masaa 2 alifika kuniona nakuleta vitu vingi vyakuniongezea nguvu, alivyoondoka nilibaki tunalia. nimambo mengi napata sana wakati mgumu wa maisha yangu wapendwa! anapiga simu kila siku ila kuonana nae bado nafisi yangu imegoma. naomba ushauri wapendwa maana imenitokea kuwachukia hata wanaume wengine wote kukaa kumdate mwanaume tena roho imegoma kabisa.

Anacheza na udhaifu wako. Amka dada na kuwa strong otherwise utaendelea kulizwa sana.
 
Najua inauma kumwacha unayempenda,
Lakin pia hakuna raha kupenda usipopendwa, matokeo yake ni kutendwa tu,
Kilio,huzuni,upweke, vitakuwa sehemu ya pumzi yako, na kama hautaki/haupendi
Hayo maumivu yasiendelee basi jitahidi usirudiane naye, endelea na maisha yako ,
Huku ukiamini kuwa ipo siku utakutana na mwingine mtayependana kwa dhati.
 
@all, sio kwamba nalia kwasababu ya yule guy, nalia kwasababu ya makosa niliyoyafanya inshot najuta nilitumwa na nan???? sikujua kabisa, mpaka na naleta hili hapa nahisi ni nguvu za mungu ameona ninapoelekea naweza kusamehe kumbe ndo nazidi kupotea, thanks God, nimefunguka sana akili yangu ndugu zangu kupitia coments zenu, frankly speaking baada yakupitia hizi coments usiku amenitoka kichwani ghafula na kuona haina haja ya kugombana nae maana baada ya mda ali2ma text akashangaa namjibu majibu ya kejeli peke yake kwani nimejitahidi kuhurusu moyo wangu kumtoa kichwani toka mach ni palefu kidogo ha2jawahi onana zaidi ya siku moja aliyokuja kuniona naumwa, jana ameshangaa sana majibu niliyokuwa nampa finaly akapiga simu anashangaa napokea simu huku nacheka alikuwa mpole maana alidhani nitakuwa m2 wakusktka na kuoji kwa nn lakini unafanya hivyo, hv dia unanipenda kweli, huwa anastyle ya kuniamsha saa kumi na moja nikasome shule, leo kaniamsha nikamwambia okey naamka, once again nimefunguka wapenda else ningefika hatua nikasamehe maana nilikuwa najikaza peke yangu bila kupata mchango wa mawazo mazuri kama hayo!!!!!!!!!!
 
@all, sio kwamba nalia kwasababu ya yule guy, nalia kwasababu ya makosa niliyoyafanya inshot najuta nilitumwa na nan???? sikujua kabisa, mpaka na naleta hili hapa nahisi ni nguvu za mungu ameona ninapoelekea naweza kusamehe kumbe ndo nazidi kupotea, thanks God, nimefunguka sana akili yangu ndugu zangu kupitia coments zenu, frankly speaking baada yakupitia hizi coments usiku amenitoka kichwani ghafula na kuona haina haja ya kugombana nae maana baada ya mda ali2ma text akashangaa namjibu majibu ya kejeli peke yake kwani nimejitahidi kuhurusu moyo wangu kumtoa kichwani toka mach ni palefu kidogo ha2jawahi onana zaidi ya siku moja aliyokuja kuniona naumwa, jana ameshangaa sana majibu niliyokuwa nampa finaly akapiga simu anashangaa napokea simu huku nacheka alikuwa mpole maana alidhani nitakuwa m2 wakusktka na kuoji kwa nn lakini unafanya hivyo, hv dia unanipenda kweli, huwa anastyle ya kuniamsha saa kumi na moja nikasome shule, leo kaniamsha nikamwambia okey naamka, once again nimefunguka wapenda else ningefika hatua nikasamehe maana nilikuwa najikaza peke yangu bila kupata mchango wa mawazo mazuri kama hayo!!!!!!!!
 
Umefanya vizuri KOKWENDA, usikubali kabisa jitu likupotezee muda wako. Kuwa strong hujapungua kitu kabisa. Mtu anayekupenda hawezi kuwa sababu ya mateso maishani mwako. Yani mtu aliyeshindwa kuwa mwaminifu kwa mke wake mwenyewe unadhani atakuwa furaha kwako. Hongera sana na sasa umejifunza kutokana na makosa. Tupa kule, songa mbele.
 
Nashukru mungu kwakila jambo, 1: nilikuwa muaminifu sana kwake na amini ndo maana mungu ameniepusha, 2: katika hiyo misukosuko yoteeeeeeeeeeeeeeeeee sikuwahi kupata sapu, japo naweza sema alichangia katika kushusha GPA yangu, 3: mungu anamakusudi mazuri na me ndugu zangu y? b'coz nilikuwa nataka nisamehe huku roho yangu ikiwa inagoma lakini ndani yahiki kipindi chote nimejitahidi kumshrikisha mungu wangu naku2bu mara kwa mara"mungu usinihukumie makosa nambie sababu yakushindana namimi" sina budi kupeleka shukrani kwani nimepata nguvu kupitia coments zenu wapendwa sio kidogo ninachokiamini yupo mtu sahii atakuja chamsingi nikuendelea kumuomba mungu na kuepuka sana tamaha za maisha. 4: now sasa me nimshauri mzuri sana kwa dada zangu kama me. inshot nilikuwa nimepotea tu ila umri wangu bado mdogo sana arafu sikuwa na expirience
 
nimekosa hata la kusema my dear kwa kifupi pole sana anza upya na maisha yako..huyo delete kabisa endelea na maisha yako
 
Pole mtu wangu nakufahamu kila unachokiongea lakini ukiwa kama mwanamke vumilia na achananae,hajui kupenda wala kupendwa wala hastahili penzi lako la thamani chamsingi asikushughulishe sana najua kama sio rahisi kumsahau unaempenda lakini vile vile ufahamu kua mpende akupendae,
kama unaweza kubadili number ya simu itakua bora la huwezi mueleze wazi kua asikupigie na unahitaji time kufikiri.
 
zile dream za kupangishiwa nyumba kununuliwa gari kupelekwa shopping kila weekends vacations na kuishi maisha mafupi ya raha kuliko kuishi maisha marefu ya shida ndo haya sasa yaani kukubali kuwa 2nd si bure tu kuna vichagizi juu yake hasa mambo ya uchumi. anyway pole sana mrudie mungu wako sali kwa mola utapata MUME wako halali na si mme wa mtu.
 
,,usiendekeze moyo unavyokutuma usiposhinda unabudi kuumiaaa utawajibika kitanzi pasipo huruma,,yaani sio ww tu nawalaumu wanawake wotee wanaojiingiza katika mapenzi ya kudanganywa we jitu lisha kwambia ana mke we unajipeleka si unatafuta mateso ya moyo,sasa hapo bado hajakupa mzigo wa mtoto utalia mpaka uone dunia chungu, hauta ona raha ya maisha hata kidogo utailaumu nafsi yako kuliko unavyojilaumu sana tafuta mtu muaminifu asiye na mke ili uanze maisha ya furaha hata ukipata mtoto unajisikia raha mtoto anavyocheza na baba yake,wanaume waongo sana wanawake mnatakiwa muwe makini na watu hawa utasikia hoo unajua mi mke wangu simpendi nimelazimishwa, au ananionea, au hoo kwanza dini zetu tofauti ilamradi uongo tu wa kutaka kuharibu maisha ya watu nawachukia sana wanaume wa tabia hii, washawatia wanawake wengi katika matatizo,achana nae jambazi la mapenzi hilo
 
Back
Top Bottom