Nitakukumbuka na kukuombea,usikate tamaa maana kuumizwa kwa leo huenda ni kufunguliwa kwa mlango mzuri wa maisha ya baadae na huenda kuna mabaya unaepushiwa ila kwa kuwa sisi ni wanadamu tunaona ya hapa karibu tunakata tamaa mapema bado una nafasi ya kupata mambo mazuri na maisha mazuri baadaye jipange upya na kubaliana na hali halisi.