Nafikiria kubadili Jina baada ya Harusi yangu CharmingLady,

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,941
3,402
baada ya kufunga ndoa nadhani sitakuwa mtoto tena kwani kwa mujibu wakabila letu kijana ambae hajaoa hutambulika ni mtoto hata kama ana miaka 90. Sasa nawataka wana Chit Chat mpendekeze jina ambalo litafaa kwa ajili ya ID yangu mpya

nawasilisha
 
Kweli kabisa una haki ya kuhamua chochote kuhusu jina lako!
 
Ban! Ondoa kabisa huyu hapa bado ana kesi ya kujibu,unataka kubailisha majina mara ya tatu,hapana nafungua kesi nyingine ya kukuzuia kubadilisha jina.
 
kwanza we jamaa mi nataka kusafiri kwenda dar, vipi kesho huendi job? au lini utakuwa off? Chimbuvu
 
Last edited by a moderator:
baada ya kufunga ndoa nadhani sitakuwa mtoto tena kwani kwa mujibu wakabila letu kijana ambae hajaoa hutambulika ni mtoto hata kama ana miaka 90. Sasa nawataka wana Chit Chat mpendekeze jina ambalo litafaa kwa ajili ya ID yangu mpya

nawasilisha

huz wasikutishe, wala kukuchagulia id ya kizush. mi mkeo nina haki zote za kukuchagulia. tena jion ukirudi utalikuta mezani. . .
 
kwanza we jamaa mi nataka kusafiri kwenda dar, vipi kesho huendi job? au lini utakuwa off? Chimbuvu

mi nimetoka church nilikuwa na njaa kweli,nikawa mj nakula,mbona ghafla hivyo na magep hujanifundisha sa ntakuwa mgeni wa nani mimi?lini unaondoka?
 
Last edited by a moderator:
Chimbuvu nimepigiwa simu kuna kazi dar sasa naweza chomoka siku si nyingi kama ratiba haitabadilika... basi tutachekiana kama utakuwa free au vipi?
 
Last edited by a moderator:
mi nimetoka church nilikuwa na njaa kweli,nikawa mj nakula,mbona ghafla hivyo na magep hujanifundisha sa ntakuwa mgeni wa nani mimi?lini unaondoka?

kumbe ndo we ulikuwa jiran yangu pale mj, duh nlikuona ukiwa busy na simu hahahahaa!
 
Naenda yatch club kwenye harusi sa hv,then ntaangalia magap kukopy na kupaste ktk harusi yako na charminglady,kwa kweli nimejitoa kwa hali na mali kufanikoisha ndoa yenu,na waliokuwa wanapost kutumia username yangu ni hackers,nipo kinyume nao wala sio mimi kabisa wanataka kunichafulia jina baada ya kujua nataka kugombea ubunge jimbo la ilemela mwaka 2015 kwa kuwa tunaona mbunge tuliyemchagua tulimpigia kura aende akakae dar akaamua kukimbia jimbo lake,vijana tupo tuna uchungu na jimbo letu na nchi yetu vilevile.asanteni sana.
 
harusi ya jamaa tolu wa makufuli na mchumba mzuri ? daaaah jamaaa leo anakula buzeri kwa halali kabisa
 
Back
Top Bottom