Turnkey
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 7,359
- 5,830
Mungu mmoja kwa nini vitabu viwiliBible and Quran ni vitabu vitakatifu vya Mwenyenzi Mungu
Mungu mmoja kwa nini vitabu viwiliBible and Quran ni vitabu vitakatifu vya Mwenyenzi Mungu
Okay.
Naomba nikuongezee facts
Na New Testament ilianza kuandikwa karne ya kwanza miaka 100 mpaka 150 baada ya Yesu. So definitely kuna mitume wa Yesu walikuwa hawapo tena.
Modern research zinasema authors wa gospels nne sio wanafunzi wa Yesu.
Mfano kwenye John na verse 24 ya chapter yake imeonyesha John hakuwa muandishi.
original gospel ya mathew haipo na mwandishi wa translation yake is unknown,
Mark na Luke hawakuwa Apostles wa Yesu hivyo hawakushuhudia hata maisha ya Yesu kwa ukaribu.
Historical texts yaani gospel za kwanza hazina crucifixion, resurrection na ni fupu kimaelezo.
New testament vitabu vyake vilipitishwa kwa kura ya yeas na nayas katika council of Nicea na Laodiciea miaka 350 baada ya Yesu. Waliangalia vitabu gani viwekwe au visiwekwe.
Kuna gospels zaidi ya hizo zilizopo mfano Gospel of mary, gospel of Thomas[/QUO\\
Nimeeleweka waliokuwa wanafunzi wa Yesu ama wanafunzi wa mitume. Utapata taabu sana kuidiscedit Biblia. Taabu sana maana hutaweza. Alishindwa Voltaire. Na unajitahidi kuifuta crucifixionama alivyojaribu Ahmed Deedat na Hafez Yusuf Bakash. Hawakuweza mbele ya ushhidi aliouainisha Josh McDowell, Durban, Afrika Kusini - miaka ya karibuni (recently). Luke ndiye hakuwa contemporary wa Yesu, Mark alikuwa. Na yeye alikuwa mwanafunzi wa Petro. Kura pasipo kura haina shida maana hata Mathiya alipigiwa kura kujaza nafasi ya Yuda. Muhimu Kanisa lilipitisha Kanuni hiyo, yaani orodha maalum iliyokubaliwa. Na nikuambie Luka alikuwa miongoni mwa vitabu vya mwisho kupitishwa pamoja na waraka kwa Waebrania. Walihoji mambo mengi kisha wakakubaliana. Walitumia vigezo ambavyo nimekwisha vitoa hapo awali. Sidhani kama ulivizingatia. Vingi viishindwa kipimo hicho - makusanyo ya vitabu vilivyoitwa apocryphica na pseudipigrapha miongoni mwa hivyo ni hivyo uivyovitaja hapo juu. Vingi vilikataliwa kwani vilikosa sifa.Waliweka utaratibu hawakuangalia tu vipi viingie na vipi vibaki. Walikuwa na kipimo (Kanuni) waliojiwekea. Kitabu cha Marko kilitoka kati ya 40-50 Ad na sio miaka mia baadaye. Yohana ndicho cha mwisho karibu AD 100 kwa mujibu wa waandishi na simulizi (traditions and schools of thought) nyingi za kale.

APOLO
Nimeeleweka waliokuwa wanafunzi wa Yesu ama wanafunzi wa mitume ndiyo walioandika. Utapata taabu sana kuidiscedit Biblia. Taabu sana maana hutaweza. Alishindwa Voltaire. Na unajitahidi kuifuta crucifixion kama alivyojaribu Ahmed Deedat na Hafez Yusuf Bakash. Hawakuweza mbele ya ushahidi aliouainisha Josh McDowell, Durban, Afrika Kusini - miaka ya karibuni (recently). Luke ndiye hakuwa contemporary wa Yesu, Marko alikuwa. Luka alikuwa mwananfunzi wa Paulo. Na Marko alikuwa mwanafunzi wa Petro. Kura pasipo kura haina shida maana hata Mathiya alipigiwa kura kujaza nafasi ya Yuda. Muhimu Kanisa lilipitisha Kanuni hiyo, yaani orodha maalum iliyokubaliwa. Na nikuambie Luka alikuwa miongoni mwa vitabu vya mwisho kupitishwa pamoja na waraka kwa Waebrania. Walihoji mambo mengi kisha wakakubaliana. Walitumia vigezo ambavyo nimekwisha vitoa hapo awali. Sidhani kama ulivizingatia. Vingi viishindwa kipimo hicho - makusanyo ya vitabu vilivyoitwa apocryphica na pseudipigrapha miongoni mwa hivyo ni hivyo uivyovitaja hapo juu. Vingi vilikataliwa kwani vilikosa sifa.Waliweka utaratibu hawakuangalia tu vipi viingie na vipi vibaki. Walikuwa na kipimo (Kanuni) waliojiwekea. Kitabu cha Marko kilitoka kati ya 40-50 Ad na sio miaka mia baadaye. Yohana ndicho cha mwisho karibu AD 100 kwa mujibu wa waandishi na simulizi (traditions and schools of thought) nyingi za kale.
Kwani we ulikua hujui kama jua linasehemu yake linapoenda tena imegundulika hivi inaitwa star vegan............ Surat yasin 36:38 na jua linapita kuendea kituoni pake,hicho ndicho kipimo cha mwenye nguvu, mwenye kujuaAsante.
Ila bado hujaelewa. Tesla sio muanzilishi idea ya free energy bali alichukua katika Vitabu vya Veda. Na Veda ilikwepo 7500 kabla ya Quran.
Pili kuhusu uwepo wa mchana na usiku zamani waliamini jua linachomoza mahali fulani na kuzama mahali fulani. Haikuwa kama evidence ya mchana na usiku. Ilikuwa inaonekana kama ni impact ya jua kutokeza na kutuzunguka kwa kuzama mahali. Iliamini kuna rising place na resting place ya jua kwenye kisima cha tope.
Quran 18: 86 Till, when he (the traveller Zul-qarnain) reached the "setting-place of the Sun", he found it going down into a muddy spring…
Quran 18: 90 Till, when he reached the rising-place of the Sun, he found it rising on a people for whom We had appointed no shelter from it.
Iliona kuna mahali special ambapo jua linapochomoza ambapo ni muddy spring
Which is totally incorrect.
Quran 18: 86 Till, when he (the traveller Zul-qarnain) reached the setting-place of the Sun, he found it going down into a muddy spring…
Quran 18: 90 Till, when he reached the rising-place of the Sun, he found it rising on a people for whom We had appointed no shelter from it.
Hiyo ni kutoka kitabu gani?Tulia Aya zikuingie
Quran
85:16 Atendaye ayatakayo.
3:6 Yeye ndiye anaye kuundeni ndani ya matumbo ya wazazi kwa namna apendayo. Hapana mungu ila Yeye, Mwenye nguvu na Mwenye hikima.
31:34 Hakika kuijua Saa (ya Kiyama) kuko kwa Mwenyezi Mungu. Na Yeye ndiye anaye iteremsha mvua. Na anavijua viliomo ndani ya matumbo ya uzazi. Na haijui nafsi yoyote itachuma nini kesho. Wala nafsi yoyote haijui itafia nchi gani. Hakika Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye kujua, Mwenye khabari.
Mungu ambaye amekuumba wewe,na akaonyesha uwezo wake,wa wewe,kutojuwa lini,mda gani,wapi,na namna gani utakufa.Hiyo ni kutoka kitabu gani?
Na Mungu gani mkuu
Mungu ambaye amekuumba wewe,na akaonyesha uwezo wake,wa wewe,kutojuwa lini,mda gani,wapi,na namna gani utakufa.
Maajabu ya Qur'an kuwa na code number,ambayo ni namba 19.Namba hii ukigawanya na idadi ya kila kilichopo katika Qur'an haikibaki kitu.Appendix 1 - One of the great Miracles [74:35] - Submission.ws
Mkuu kwanini unasema nakosea kusema kuwa Qur'an imetungwa, usiniambie niamini nipe ushahid. Unaamije kwamba Muhammad alipokuwa anaandika qur'an kule pangoni alikuwa haongozwi na shetani, au alikuwa hajitungii mwenyewe. Kwann useme alikuwa anaambiwa na Mungu, why?
Nyama ya ngurue mbaya sana!ubongo wako umeshaoza huwezi kuona wala kuelewaHiyo ni kutoka kitabu gani?
Na Mungu gani mkuu
Kwani chapisho la sasa la Kuruani ndio lililopokelewa kama unavyodaiKama unaamin kua Qur'an ni kitabu kilichotungwa unakosea, kwa kukuprove wrong heb leta na ww mfano wa hata aya moja mfano wa hyo Qur'an na kama utaweza bas nam ntaamin uyasemayo na kama utashndwa futa hayo mawazo kchwan mwako
Kwani we ulikua hujui kama jua linasehemu yake linapoenda tena imegundulika hivi inaitwa star vegan............ Surat yasin 36:38 na jua linapita kuendea kituoni pake,hicho ndicho kipimo cha mwenye nguvu, mwenye kujua
Mungu ambaye amekuumba wewe,na akaonyesha uwezo wake,wa wewe,kutojuwa lini,mda gani,wapi,na namna gani utakufa.
Nyama ya ngurue mbaya sana!ubongo wako umeshaoza huwezi kuona wala kuelewa
Embu nipe picha ya hao masela walikaaje ? Ili utusaidie na sisimie nahs ni masela tu wenye akili kubwa walikaa wakadesign quaran na Bible ili wapige pesa
Mnapo feli nyinyi kutuletea sisi mafikirio na dhana badala ya ukweli halisi.mie nahs ni masela tu wenye akili kubwa walikaa wakadesign quaran na Bible ili wapige pesa
Kila anaetetea mada,ana anaanza "mimi nadhani" mara "Mimi nahisi" ilimradi tu tafrani,kama unahisi au unadhani si ukae kimya uwaache wenye kujua,sababu ukiulizwa swali huwezi kujibu.Hapa hatuzungumzii siasa za kidemokrasia zile za mtu yuko huru kumchagua anayemtaka.mie nahs ni masela tu wenye akili kubwa walikaa wakadesign quaran na Bible ili wapige pesa
Allah alishaahidi kabisa kama watu watashindwa kuilinda Qur'an basi atailinda mwenyewe
Mkuu hapa umenipa maneno ambayo YAPO KWENYE QUR'AN hujajibu swali langu, hayo maneno hata mimi naweza kuyaandika